Chadema boresheni mikakati yenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema boresheni mikakati yenu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntambaswala, Apr 26, 2012.

 1. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sio siri kuwa wananchi wengi wanaamini TZ kuna watawala wawili- kutokea magogoni na wale kutokea CHADEMA (Slaa etc). Kunapokuwa na hali tete katika nchi tunategemea tamko/action kutoka either side of the camps. Upande mmoja ukiboronga hasa ule wenye dola tunategemea kauli thabiti kutoka CHADEMA.

  Chadema bado hawajajifunza ku capitalize udhaifu wa serikali na CCM na kutoa hoja mbadala. Baada ya bunge kuahirishwa nilitegemea uongozi wote wa makamnada kuitisha hata press conference kulieleza Taifa nini kinafuata baada ya hapo. Ndo maana hata JK nasikia alisema huu ni upepo utapita tu... kwa vile anajua Watanzania wanapiga kelele halafu baada ya wiki wanasahau na mambo yanaendelea.

  Tafadhali CDM hali ilipofika sio ya kuacha hivi hivi tunaomba kauli thabiti ya CDM nini kinafuata baada ya sintofahamu hii ya bunge ili wananchi tuwe tunafahanu kinachoendelea
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Chama ni taasisi na kinaongozwa na taratibu/sheria pamoja na maamuzi ya vikao vya ndani. Kuna mambo ya kukabiliana na propaganda na taarifa za ufafanuzi ambazo zinaweza zikatolewa na kurugenzi ya mawasiliano ndani ya muda mfupi, lakini kwa mambo mazito kama hayo unayosema ni lazima kuwe na kikao kwanza kabla ya kutoa Maamuzi.
  Sasa ina maana bado hujasikia kuwa, kuna kikao cha Baraza Kuu, na agenda kuu ndiyo hiyo.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Chadema ni chama makini, be abreast with the news.
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Si umeambiwa 29,April baraza kuu linakaa kaka,hebu tuwaache tuone watatupa kitu gani kipya.
   
 5. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Usihof mkuu, jmoc kamati kuu ya chadema ina kikao kwa ajil ya hil, watatoa tamko rasmi.
   
 6. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Asante sana wakuu kumbe tayari kuna jambo hili........MODS PLEASE CLOSE THIS TOPIC
   
 7. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mods,
  naomba mfunge topic hii
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huu ndio uungwana.
   
Loading...