ushirikiano au umoja wa Chadema na NCCR unakuwaje tishio kwa Waislam?u | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushirikiano au umoja wa Chadema na NCCR unakuwaje tishio kwa Waislam?u

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KALABASH, Feb 8, 2012.

 1. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jana usiku katika kipindi cha majadiliano Radio Kheri Sheikh Mohamed Issa aliwatahadharisha sana Waislamu kuwa waangalifu na makini na huu umoja na ushirikiano uliojitokeza hivi karibuni kati ya Chadema na Nccr na athari zake kwa Waislamu katika swala la uongozi wa Tanzinia kwa siku zijazo. Nilisubiri afafanue ni kwa vipi umoja kati ya vyama viwili vya upinzani uwe tishio kwa Waislamu badala ya kuwa tishio kwa chama tawala sikusikia ufafanuzi wowote. Wana JF au washirika wa Sheikh Mohamed Issa mnaweza kunisaidia kupata tafsiri ya kauli hii?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Aisee,

  Redio Kheri ndio ya wapi hiyo na inamilikiwa na nani?...

  Taifa la Wajinga hili...tunaishi kwa hisia hisia, na kuchunguza nani kafanya nini, na anataka nini!..huh!
  Kuna ubaya gani kama CUF kashirikiana na ccm, na Nccr na cdm?...Mambo ya udini yapo hapo?
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ujinga ni kitu kibaya sana!! Waliotuletea dini waliona mbali na hadi tuje kushtuka tutakuwa tulishalipa gharama kubwa za kijinga.
   
 4. REBEL

  REBEL Senior Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hivi redio kheri au imani kuna mtu wenye shahada,stashada au hata cheti cha uandishi wa habari?na ili uwe shee unabidi uwe na elimu gani?maana reasoning inabidi iwepo.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,474
  Likes Received: 5,855
  Trophy Points: 280
  Kenyatta(Jomo not UHURU) famously said......'' THEY CAME WITH A BOOK WHEN WE HAD LAND.......THEN WE ENDED UP HAVING THE BOOK AND THEY HAD THE LAND''
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tunakoelekea tafsiri ya uislam wa Tanzania itakuwa ni ignorant!
   
 7. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Boko haram elements,yaani waislamu muda mwingi wanawaza sharishari tu.
   
 8. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  This is too much! Jamani tushirikishe ubongo kidogo tunapotoa matamko yaani hata hayo makubaliano hujayaona tayari kwa hisia tu unaconclude? Amekusanya lini maoni ya waislamu wote ili kujua wanalichukuliaje suala hilo? Amejuaje kama hautainufaisha jamii yote ya kitanzania bila kujali dini zetu? Matamko haya yanatakiwa kukanushwa la sivyo yakiachwa kuna uwezekano watu wakayachukulia kama ni ya kweli. Tuangalie uhalisia jamani tusiendeshwe na hisia tu kama vile tuna akili bila utashi/ufahamu wa kuchambua mambo.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  JK mlezi mkubwa wa UDINI.Amin usiamini JK ana hisa radio Imaan
   
 10. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kweli jk analea udini na utakuja one kutu cost watz
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Nilichoka siku moja niliisikiliza hii redio kidogo nizirai aisee
  Shekh mmoja alikuwa anasema eti anashangaa muislamu mzima unashabikia ligi za soka za ulaya wakati asilimia 95 ya wachezaji sio waislam ni wakristo
  Akaenda mbali zaidi eti utakuta Saudi Arabia inacheza na Brazil unakuta muislam anashabikia Brazili wakati Brazili yote ni wakristo, aka hoji utamshabikia vipi kafiri uache kushabikia muislamu mwenzio kwa mujibu wa maamrisho ya Allah

  Hapo ndipo niliamini kweli elimu dunia ni muhimu isee, kuna matatizo makubwa kuwa na elimu ya kukariri koran na hadith tu bila elimu dunia
   
 12. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hawana lolote hawa viongozi wa dini (siyo wote) ila wengi wao wanatumiwa na vikundi ( nchi fulani) fulani vyenye/zenye nia mbaya haswa na hili bara letu lilivyo na mali ghafi nyingi basi kazii kweli kweli!! Kila mmoja kwa nafasi yake duniani hapa anajaribu kum-overpower mwenzake ili aendelee kuishi. Cha ajabu viongozi wetu hawasikii wala kutaka kusikiliza au kujifunza.
   
 13. K

  Konya JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  tukiendelea kushabikia na kuruhusu itakidi za namna hii zitutawale tutaishia pabaya,,mungu atusaidie busara zituongeze
   
 14. P

  Paul S.S Verified User

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  OUT OT TOPIC
  Mkuu may i use this comment as my signature at least for one month
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ruksaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu.
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Thanx mkuu
   
 17. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  mim nadhan hakuna haja ya kupoteza muda na huyo sheikh ambaye sijui amesoma mpaka wapi.naiheshimu elimu na kuwapenda hata wasiosoma lakini siwezi kuvumilia watu kama hao(wasio soma) wenye akili ndogo zilizokuzwa na kustawishwa katika malalamiko na kulialia kiujaribu kuvuruga amani na demokrasia yetu changa. kama ana akili anaweza atueleze madhara ya uhusiono na ndoa kamilim kati ya cuf na ccm.uislamu na waislamu wanadhalilishwa na watu wa aina hii.
   
 18. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umenena vyema lakini tatizo linakuja kama hatua za makusudi za kukomesha hali hii hazitachukuliwa na serikali yetu basi tutegemee hali hii itaendelea na kusababisha machafuko. Kwanini mtu anavunja Katiba anaachwa? Kwanini mtu anapotosha watu kwa makusudi haonywi? Kunatatizo mahali hebu tujiangalie upya.
   
 19. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mi naona tatizo ni shule na ujinga
   
 20. t

  thomas nathan Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani nyie hamjui kuwa bkwata imegeuzwa kuwa ni tawi mojawapo la ccm..?
   
Loading...