CCM:Ni kitu gani kitokee dhidi yako ndiyo ujibu mapigo kwa chadema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM:Ni kitu gani kitokee dhidi yako ndiyo ujibu mapigo kwa chadema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, Apr 26, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Napenda nikuulize wewe CCM je unataka CHADEMA akuangushe mara ngapi ulingoni ndiyo useme umeshindwa pambamo? Maana umepigwa ngumi 1ukadondoka,ya2,ya3,ya4 je huoni refa na kocha wako ndiye wana miangusheni? Mwambie mzungumzaji wako atuambie magamba waliopo kwako ni zaidi ya mil.kadhaa watakuja CDM,mimi CDM nawajua magamba wako 11pamoja na kocha wako achilia mbali wawili wa sisijei ambao na ni magamba.INASEMEKANA KOCHA WAKO AMEUZA GAME JE UNAKUBALI HILI?
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kweli umenena.
   
Loading...