CHADEMA Kinondoni: Lema ni kama Mandela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Kinondoni: Lema ni kama Mandela

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Apr 7, 2012.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Tanzania daima ya leo.

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wilaya ya Kinondoni, kimempongeza aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, na kumfananisha na aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini,Nelson Mandela, kutokana na ujasiri mkubwa aliouonyesha wakati wote wa kesi yake.
  Pongezi hizo zimetolewa na katibu wa kanda ya Dar es Salaam, Henry Kileo, ikiwa ni siku moja tangu Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, kutengua matokeo yaliyompa ushindi baada ya kumtia hatiani kwa makosa mawili kati ya manne yaliyokuwa yakimkabili.
  Chama hicho kimesema pamoja na kesi hiyo kuonyesha kuendeshwa kwa upendeleo, lakini Lema hakujali na badala yake alionyesha uzalendo wa hali ya juu kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa Arusha.
  Hata hivyo, CHADEMA imeshangazwa na hatua ya aliyekuwa mgombea wa CCM, Batilda Buriani, kutofika mahakamani hapo kwa siku zote za usikilizwaji wa kesi hiyo.
  Kesi ya kupinga ubunge huo wa Lema 13/2010, ilifunguliwa na wana CCM watatu Mussa Mkanga, Agness Mollel na Happy Kivuyo ambao waliwakilishwa na Mawakili Alute Mughwai na Modest Akida ambapo mbali na Lema mdaiwa wa pili alikuwa ni Mwanasheria wa Serikali aliyewakilishwa na mawakili, Timon Vitalis na Juma Masanja.
   
 2. m

  maramojatu Senior Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  umenikumbusha Mandela. Nikikumbuka jinsi alivyokuwa anavunja sheria za makaburu namfananisha na Mh Lema. Imagine hata b-day ya Mandela tunaisheherekea ulimwengu mzima. Naomba CDM na wana-Arusha muangalie tarehe ya Mh. Lema ya kuzaliwa ili iweze kuadhimishwa kitaifa hata kwa kuanzia upande wa chama. Ukandamizaji wa Mandela sawa na wa Lema. Ukandamizaji wa wana-africa kusini sawa na wa Arusha
   
 3. J

  Jqnakei Senior Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda lema anafaa pongez ktk misukosuko aliyopitia
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Arusha belongs to chadema. CCM wakaibe kwingine
   
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Lema ndiye mandela wa tanzania, kwani yote aliyoyafanya mandela kwa kupinga sheria kandamizi za makuburu ndio leo tunayoshuhudia kwa huyu shujaa wetu Lema, jamani chadema ni lazima tufanye harakati za kutosha ili lema arudi mjengoni.
  Don give lema
  kwani adui ccm kakuijia kwa njia moja ya mahakama, Mungu atawatanyisha kwa njia 7.
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kikwete anamwona Lema kama tishio kwa utawala wake
   
 7. M

  Mbuli Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndio hivyo
   
 8. N

  Ndege stroller New Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It won't be soon before long. hiyo ni hal ya kawaida kwa watu ambao ni wapinga ukandamizaj kama mh lema
   
 9. K

  Kikulacho Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  PamoPamoja na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kumvua Ubunge Godbless Lema, ni ushahidi tosha kuwa huyu ni Mpambanaji wa kweli Tanzania, hana hofu na kwake ubunge sio issue. "Ni bora kufa ukitetea haki kuliko kufa ukipiga magoti ja na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kumvua Ubunge Godbless Lema, ni ushahidi tosha kuwa huyu ni Mpambanaji wa kweli Tanzania, hana hofu na kwake ubunge sio issue. "Ni bora kufa ukitetea haki kuliko kufa ukipiga magoti kwamadhalimu "
   
 10. U

  Upemba New Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika tunamtakia kazi njema Bw. Lema, tunachomuomba asikate tamaa. Chadema songeni mbele. Nchi hii tumeonewa, kunyonywa na kubezwa na watanzania wenzetu ambao wamejikita katika ufisadi. Ifahamike kuwa sasa watanzania hatutishwi na mapesa yao, ila Legitimacy of the people na uzalendo wa kitaifa ndio uwe mhimili wetu katika mapambano haya.
   
 11. P

  PJS Senior Member

  #11
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu yupo na Mh lema,vita hi tutashinda tu.
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tulianza na Mungu, tutamaliza na Mungu tusiogope tutashinda.

  Ni heri vita inayotafuta haki na usawa, kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu
   
 13. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kumfananisha LEMA na mandela ni kumkosea adabu mzee wetu nelson mandela! ni dhahiri wewe ulieanzisha hii topic uifute topic yako.
   
 14. N

  Nshishi New Member

  #14
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani kuna kosa gani kumfananisha Lema na Mandela? au ndo Fikra Mgando?
   
 15. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #15
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Lema ni mwanasiasa wa kiwango cha juu sana!
   
 16. k

  king ndeshi Senior Member

  #16
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tell em
   
 17. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  lazima utakuwa bodyguard wa sioi wewe, na leo hujapata posho yako baba mkwe hajatuma chapaa. utashaa kwa kiwewe!
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Sijawai kumuona wala kumsikia Mzee Mandela anatukana.
   
 19. UMBWE1

  UMBWE1 JF-Expert Member

  #19
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 505
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 60
  We majeruhi wa arumeru unaweza kutukumbusha tusi alitukana lema hata kwa lugha ya kuficha,kinyongo kitakumaliza.
   
 20. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #20
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Anatakuna ndo nini? Je ulitaka kumaanisha anatukana?? kama ulimaanisha hivyo basi Mandela alitukana pale alipowaambia watawala waupe kwamba ni wabaguzi
   
Loading...