Hata ndoa siku hizi kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia zinafanyika kwa maridhiano ya watu wawili na kwa muda fulani.Muungano gani usiokuwa na majadiliano kati ya pande mbili kukubaliana yapi yawe masuala ya muungano na yapi yasiwe?Ni wakati sasa ccm na viongozi wao wajue wazi kuwa tunahitaji muungano utakaokubaliwa na wananchi wote kuepusha machafuko yasiyo kuwa na ulazima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.