Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Apr 27, 2006
26,588
10,375
Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!

Es!
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
Kaka Bado tu hujakoma! Magamba wenzio kwanza hawakutaki. Ukija huku CDM pia hawawataki Wanafiki. Shetani hakutaki, Mungu kakukataa, sijui utakwenda wapi? Mbona kazi zipo nyingi, kwani lazima uwe mwanasiasa!
 
Mkuu kipigo ulichokipata kwenye uchaguzi wa wabunge wa EAC hujaridhika nacho? Ukiingiza pua yako segerea, tegemea kipigo cha mbwa mwizi!
 
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!

Es!

Mkuu napata hisia kama unanyatia vile
Usiwe na hofu, piga mbizi kijana, ni haki yako
Funguka !

Ila sisahau vita kuu iliyo mbele

Unasilaha za kutosha ?
 
Umeambiwa utoe details we unakuja na ID nyingne ukisema una shamba na nyumba, hizo ndo details za jimbo?
Misifa itakuua mdogo wangu Willy a.k.a Le mutuz.
 
Kwa hiyo umekubali kwamba unaweza kurudiwa sio? Mbona kwa kutumia id yako ile nyingine ulikuwa unapinga?
Ok mie bila kuuma uma nadhani sasa ni nafasi yako kugombea tena jimbo hili baada ya kulikosa jimbo lileeeeee gud luck mzee wa sauti nene
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Mkuu kama umedhamiria kweli kufanya mabadiliko hongera kwa kuwa mpambanaji.
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Jimbo lako kama nani?Mpiga kura au mkaazi au mbunge au diwani?mbona sikuelewi wewe Baharia,
wakati mwingine uwe unaacha utani bana.kama unataka kugombea ubunge nimeshakwambia ukalichukue
lile jimbo la Mtera 2015 thu CDM tofauti na hapo utasikilizia ubunge kwenye tovuti tuu na mitandao mkuu
 
Mkuu naona ushaanza kulitamani!!

Natamani wakusimamishe wewe, ili iwe simple!!

Sisi tunaleta a plebeian candidate ili....:glasses-nerdy:
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
usitegemee kama Mahanga akimwagwa na kukatazwa lugombea, na wewe ukagombea utachukua. Magamba siku zenu zimeshaisha. Bora uombe kesi iamuliwe kimizengwe Mahanga aendele. Tena umesema una shamba, wakati watu tunatafuta hatua 16 x 12 hatupati. Hilo shamba tutalinyang'anya.
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

William bana umenichekesha sana, nikuulize lakini unataka kuruka umeshaagana na nyonga wewe?
 
Kaka Bado tu hujakoma! Magamba wenzio kwanza hawakutaki. Ukija huku CDM pia hawawataki Wanafiki. Shetani hakutaki, Mungu kakukataa, sijui utakwenda wapi? Mbona kazi zipo nyingi, kwani lazima uwe mwanasiasa!

- Ha! ha! ha! ha! wacha uoga wewe! ha! yaaani unaiogopa hivi vipi ndugu yangu! ha! ha! ha!, tulia mkuu wangu!

Willie @DSM City!
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

wewe ni mnafiki wa kutupwa hata yaani unamwombea mwizi. Nilikuheshim sana hapo nyuma lakin kwa sasa huna tofauti na nape nnauvye
 
Nikiwa kama mkazi wa Jimbo la Segerea na niliyeshi kwa zaidi ya miaka 30 katika jimbo hili tangu Wilaya ya Ilala ikiwa ndiyo jimbo lenyewe na baadae likazaliwa Jimbo la Ukonga ambalo nalo sasa ndio limezaa jimbo la Segerea.

Willy usikubali kuingizwa Mkenge eti uje kuchukuwa fomu kwenye kura za maoni za CCM kwenye jimbo hili, you will regreat note my word.

CCM haiwezi kushinda katika jimbo la Segerea zaidi ya kata moja tu ya Kinyerezi ambapo kwa ukweli wa nafsi kuna kazi imefanyika na inaonekana, lakini si nje ya kata hiyo.

Hakuna wana CCM wanafki kama hawa wa jimbo la Segerea, hawasomeki na wala hawaaminiki ni Makongoro Mahanga peke yake ndiyo aliyeza kuzimudu fitna za wanaCCM wa jimbo hili.

Rupia alipokuwa mbunge wetu alikuwa ni mtu mmoja safi sana lakini aliundiwa zengwe na waswahili eti kwamba alisema ni pesa zake ndio zilimchaguwa.

Nakuonya tena kama una plan ya kugombea Segerea sahau hicho kitu, maana hutoweza kupita ndani ya CCM na hata ukiweza kupita huwezi kushinda siyo wewe tu hata aje mwana CCM gani, tuna hasira kubwa ya maamuzi yetu 2010 kudharauliwa na NEC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom