Mawaziri tajeni mali zenu upya kabla..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri tajeni mali zenu upya kabla.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Moony, Apr 26, 2012.

 1. M

  Moony JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Upepo mkali unavuma na kwa mawaziri mafisadi someni alama za nyakati.
  Mi nadhani mngeanza kututajia mali zenu mlizonazo upya na jinsi mlivyozipata. Hakika Watanzania wataelewa na kuwasamehe na adhabu itakuwa ndogo tu. Lakini mkisubiri tuanze kutaja sisi basi subirini kusulubi
  wa!
   
Loading...