Wakati Nyerere anachanganya udongo kuunganisha Tanganyika na Zanzibar Karume alikuwa wapi?

Ruppy karenston

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
412
73
Hili jambo huwa linanitatiza sana!

Muungano unamaanisha mjumuiko wa watu wawili au zaidi! Ila ukiangalia picha za muungano unaona Nyerere peke yake akiuchanganya udongo kwa ajili ya muungano, je mwenzake alikuwa wapi? Naombeni msaada kwa hili.
 
mwenzake karume alikuwa nyuma akiangalia tu kwani hakujua kama tukio hili ni la kihistoria ..( si unajua jamaa baharia ) na pia Mkulu si mnajua alivokua akipenda ukubwaaa....zidumu vikra na nk...au pale alipokuja mandela akaiteka safari yake kufanya kama kaja kwake..japo mandela na yeyye kumbe wapo tofauti kabisa...( burundi ilimshinda na mandela akafanikiwa)

karume kwa upande mwengine hakutaka kuhukumiwa kwamba aliunganisha zanzibar hapa alitaka kuonesha ulimwengu japo kwa ishara ya kwamba huu ni muungano wa kulazimishwa zaidi kwa vile yeye mwenyewe amewekwa baaada ya kufanyiwa mapinduzi
sasa ile dhana ya uwongo ati " nimekubali tunagene hata sasa hivi tuite wandishi wahabari" sio za kweli au "nimekubali wewe rais(nyerere) mimi makamo"
hizi zote ni alinacha....maneno ya uongo na ukweli ndio hio picha tena muangalie karume yupo nyumaaa kabisa kuonesha hisia zake kwamba hapa hakuwa ameridhia yalio baki ni siasa na uzushi

Muungano.JPG-1.JPG
 
Back
Top Bottom