Wapi john pombe magufuli??

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
Tangu tusikie kuwa alianguka akiwa katika shuguli za bunge Dodoma na kukimbizwa hospitali hakuna habari zinazomhusu! Je kapelekwa India au keshapona anachapa kazi?? mwenye habari zake atujuze tafadhali!!
 
umetumwa na movement for carnage nini(M4C)

umejuaje aisee wewe kweli nabii!!ila kuna jamaa alikusemesha kilugha kwenye thread moja hivi naamini aliyokueleza umeyazingatia!!halafu mimi mwenyewe ndio M4C!!
 
John Pombe Magufuli (PhD), (MB), Waziri wa Ujenzi yuko imara baada ya kamsukosuko ka afya pale bungeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom