Kongamano la miaka 48 ya muungano

chemba

Member
Apr 26, 2012
5
0
linafanyika mbeya mjini katika ukumbi mtenda sunset hall-mbeya mjini.sasa ni muda wa dk. lwaitama kuunguruma,anachochea fikra
 
dr lwaitama kasema chanzo cha neno Mapinduzi ni kule Arusha kwenye azimio,na maana yake ni kuchoka na kunyonywa na wakoloni.Swali je leo unyonywaji wa wananchi umetoweka au bado upo?Je,malengo ya kuanzishwa neno mapinduzi limetimia kwa kiwango gani?wana jf naomba maoni yenu.
 
hata hili nila ukombozi maana mada zinazojadiliwa hapa ni babu kubwa,watoa mada wameenda shule mtu kama KAFULILA hawezi kutoa pumba,DR RWAITAMA EXAVEL na DR MKUMBO hawezi kutoa mada mbovu.
 
Tunahitaji kongamano la ukombozi siyo hilo.


Jukwaa la leo mi napotezea tu. Litakapoitwa KONGAMANO LA KUIKOMBOA NCHI afu watoa mada wawe MAKAMANDA (kama Lissu, Mdee, Dr. Slaa...) niiteni! Kwa herini wadau.
 
hilo ni kongamano la utengano si mshasikia wenzetu znz hautakii
Wana-JF, kwenye kongamano la leo imedhilika wazi jinsi ccm ilivyo vinunua vyama mamluki kumsimamisha Prince Mwaihojo ili kugawanya kura za upinzani jimbo la Mbeya mjini. Akiwa mtoa mada Mwaihojo, kiaina ameshutumu CHADEMA kwamba eti anatukana badala yasera. Hata hivyo mwenyekiti wa mamruki hao ametuchafulia hali ya hewa kwa kutoa madai kuwa CHADEMA imetisha maandamano ya nchi nzima kuvirazimisha viwaziri dokozi kujiuzuru, lakini lengo ni kuharibu mchakato wa katiba mpya. Maoni hayo yalichafua hali ya hewa ya ukumbi wa Mtenda, hata hivyo busara zaDr. Kitila Mkumbo zilifanikiwa kwatuliza wanambeya waliomkomalia mamluki wa ccm.
 
Wote hao ni Dr. Uchwara wasiokuwa na la kuongea, hawana lolote la kuuwaeleza Wazenji, ikiwa wana KONGAMANO la muungano na waende huko Zenji waone kama hawatawatoa mbio na pumba zao.
Badala ya kuongea mambo ya msingi wanatuletea pumba zisizokuwa na maana, hebu kama mna la maana kuhusu muungano nendeni Zanzibar mkawaeleze.
 
Back
Top Bottom