Kesi ya Lissu kesho, je Plan ya ccm kutwaa jimbo itatimia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Lissu kesho, je Plan ya ccm kutwaa jimbo itatimia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msambaru, Apr 26, 2012.

 1. m

  msambaru JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Wanajf wiki iliyopita kulizungumzwa juu ya CDM kupopolewa majimbo ya sgd na ubungo, kesho tutapata uhalisia, shime waTZ tusiukubali huu ujambazi.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hakuna nguvu ya dola iliyowahi kuishinda nguvu ya umma duniani.
   
 3. m

  msambaru JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  uwe mnyisanzu mbwanu uwe, unacheza na haya magubegube, mi niko jimboni kesho ntakujuza kila hatua ndio ujue haki mbinguni.
   
 4. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,727
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  waache watengue sisi tuwategue.... kwa nguvu ya Uma
   
 5. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Tumkose lissu bungeni..hili halikubaliki..uonevu utakua umezidi kipimo
   
 6. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,439
  Likes Received: 1,329
  Trophy Points: 280
  wadau poleni sana kesho lissu atatoa machoziii
   
 7. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 482
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mbona kuna thread nyingine imeanzishwa kuhusu hii mada tangu asubuhi na hii ya nini ten? Mod, hebu unganisha iwe thread moja
   
Loading...