Baada ya SHIRIKA LA RELI ni zamu ya TANESCO. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya SHIRIKA LA RELI ni zamu ya TANESCO.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, Apr 26, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Pamoja na kuwala wananchi kwa ongezeko la bili na kukusanya bili na madeni yake na kuanzisha mifumo ya lipa kabla hujatumia TANESCO LIKO HOI.

  Sasa hakuna mgao ila UMEME NI KUKATIKA BILA LATIBA. Viongozi wajinga wanasisiza hakuna mgao wakati ila Kilasiku umeme hakuna.

  Natabiri tanesco kufata nyayo za leli ni kifo cha aina yake. Litaanza kuudumia migodi tu na viwanda kama reli na mizigo

  PAMOJA NA TAMBO ZA TANESCO KUWA HAKUNA MGAO ILA UMEME UNAKATIKA KUPITA MAELEZO Miundombinu ya Tanesco sasa ni hoi kwelikweli!

  TUNAJIVUNIA KUWA WATANZANIA AU TUNAVUMILIA KUWA WATANZANIA
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hIZI NI SIKU ZA MWISHO ZA sERIKALI DHULUMATI YA CCM. WAO NDO WAMETUFIKISHA HAPA.
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  We ndo punguwani na pimbi wa mwisho yani makamanda wa ccm kama jmakamba wanajitahidi kupigania umeme uwepo alafu ww unaanza kutabiri upuuzi kama vile hujui maneno yanaumba, kama umeme ukiwa haupo hayo maandamano yenu yasiyo na kichwa wala mguu mtayafanyia wapi?
  KWELI UKIWA CHADEMA NI LAZIMA UWE NA AKILI ZA MAITI.
   
 4. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Utalaumu TANESCO bure, kwani wakuu wa inji hii hawaoni tatizo la umeme? Wizara ya Nishati na Madini ina mikakati gani kupunguza tatizo hili? Ahadi alizotoa Ngeleja mwaka jana za kuongeza Megawatt 567 ktk grid ya Taifa zimetekelezwa? Amechukuliwa hatua gani kwa kutoa ahadi za uwongo?
   
Loading...