Kesi ya Tundu Lissu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Tundu Lissu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BASHADA, Apr 26, 2012.

 1. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 482
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamani wanajukwaa kama tujuavyo kesho ndo hukumu ya kesi ya uchaguzi inayomkabili kamanda Lissu, napenda wanajukwaa walio karibu watujuze hakuna tetesi zilizovuja kama ilivyo kwa Lema?
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hakuna kesi pale Lisu anapeta
  serikali haina hela za kijinga za kurudia rudia chaguzi
  sasa tunafocus mbele maendeleo.Majaji wanaelewa hukumu haziangalia sheria peke yake
  wanaangalia other surrounding events
   
 3. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho kitaeleweka ndugu tuwe na subira.
   
 4. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nipo jimboni kwake bt hadi sasa hakuna tetesi mkuu.... Lets wait had kesho mayb haki itatendeka....
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Washashtuka,ile ya Lema imeshusha sympathy ya idara ya mahakama,so kesho lisu anaweza kupeta.
   
 6. s

  slufay JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,360
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nchi hii sheria hakuna weye, ubabaishaji tu kila kona
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,272
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Sorry
  unazungumzia sirikali ipi labda? hii iliofanya fitna na kumvua lema ubunge au nyingine?
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na hizo ndiyo nature ya hukumu, haitakiwi hukumu kuleak kabla ya kusomwa. Jaji huyo naona ana maadili.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  "Serikali inaingilia uhuru wa mahakama"- Jaji mkuu.
   
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,725
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  mkuu vipi hali ya Singida?
   
 11. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  kama vipi wampe likizo kama Lema ili waharakishe ukombozi wa Taifa hili.....
   
 12. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mh:lissu kaisha galagaza.aibu yao.
   
 13. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Lisu ashashinda kesi siku nyingi sana kesho ni hitima ya marehemu ccm tu
   
 14. t

  the banker JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 263
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Law in tanzania is like a cobweb,strong to the weak and weak to the strong ones
   
 15. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna kesi ya kutusumbua makamanda tusonge mbele na M4C
   
 16. I

  Izoba JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tunatumaini haki itatendeka na kuonekana ikitendeka
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Magamba wameshikwa pabaya ndo maana haijavuja
   
 18. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,865
  Likes Received: 2,022
  Trophy Points: 280
  Sasa kama hawa unawaita wavuta bangi, je hao viongozi wa CCM wanoitumbukiza nchi chooni utasena wanavuta nini?? Mandrax???
   
 19. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,288
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Nadhani fundisho walilolipata Arusha limewaamsha toka kwenye ujinga na kuona mbinu hizi za kuwatoa kwenye ubunge zinazidi kuwabomoa CCM.. Wameona ni afadhali wamuachie Lisu ubunge kuliko ku-risk kumuondoa pale na kisha ya Arusha yahamie na Singida..
   
 20. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,288
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Umepost comments 9.. Nimezisoma zote nikagundua hapo kwenye nyekundu hapo.. Wajisema mwenyewe.. Maana ni mvuta bangi tu ndio anaweza kuandika yote ulioandika kwenye comments zako.. Hope pesa unayolipwa kwa kila comment ina-justify ur level of reasonin..
   
Loading...