Hivi tatizo ni mawaziri tu! Kikwete je!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,166
9,376
Wataalamu wa menejimenti ,utawala na uongozi wamebainisha wazi kuwa uongozi ni namana unavyoweza kuwatumia watu kufikia malengo kwa ufanisi
Ni jambo la kushangaza kuwa kwa hapa Tazzania serikali inaposhindwa kiongozi wa nchi huwa anaonekana hahusiki na kushindwa huko 'Kama thelusi ys\a mawaziri ni wabovu ,wakuu wa Idara ndio balaa sasa kazi ya Raisi ni i

Kwanini asionekanae kama ndiye aliyeshindwa na huu ndio ukweli kwamba ndugu huyu uongozi umemshinda hata watotot wadogo wanjua.Ole wetu Tanzania kwa kuficha ukweli 2015 ni mbali jamani atamaliza nchi ****** huyu!
Jamaa hata ukimletea mawaziri kutoka Uingereza ,Marekani ,chINA WATACHEMSHA TU!
NAJIVUNIA KUWA NI MOJAWAPO YA WATU AMBAO HAKUMWAMINI TANGU 1995
 
Back
Top Bottom