Mwakyembe: kujenga barabara ili kulinda hadhi ya Taifa

Mwakyembe: kujenga barabara ili kulinda hadhi ya Taifa

measkron

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
3,782
Reaction score
2,420
Hivi jamani wana bodi huyu mwakyembe anaposema barabara ijengwe haraka na tanroads huko Arusha kuelekea jengo la EAst Africa ili kulinda hadhi ya Taifa, huo ufisadi mwingine hawaioni pia unalihatarisha Taifa na haulindi hadhi ya Taifa hili?
 
Back
Top Bottom