leoo mjini morogoro katika ukumbi wa Forest Hill secondary kulikuwa na kongamano la vijana wanachuo vyuo vikuu wakijadili mstakabali wa vijana katika miaka hamsini ya uhuru na muungano katika kuleta maendeleo ya nchi hii.Watoa maada walikuwa \mh. Peter Msigwa,Mh Susan kiwango na Anko Mpendazoe.Shughuli Hii iliambatana na ufunguzi wa Tawi la Kingston-morogoro mjini.