Kesi ya kupinga ubunge wa Mnyika kuendelea kesho tarehe 27 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya kupinga ubunge wa Mnyika kuendelea kesho tarehe 27

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Serayamajimbo, Apr 26, 2012.

 1. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho tarehe 27 Aprili kesi ya kupinga ushindi wa Mnyika katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 inaendelea. Najiandaa kuwepo niwajulishe kitakachotokea.

  Serayamajimbo
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Wananchi tutakuwa kazini so hatuna mda wa kufatilia kesi za wachaga.
   
 3. M

  Mr.kibulala Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua kazi ww?acha umama kuku.
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  upuuzi!?
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Umebanwa na mavi nenda chooni usije ukajaza mavi kwenye chupi!

  Watu wapumbavu kama nyie ni wakuhurumiwa, mnahitaji kufanyiwa maombi
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkuu mungi bwana asifiwe! Ni makosa makubwa kufatilia kesi za fisadi wa ruzuku mnyika
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  kweli dada hauna huruma hata kwa watoto uliowazaa mwenyewe?
   
 8. Simba Mangu

  Simba Mangu JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Pepe mbona unatujazia saver bure unafanyakazi mabatini au unafanyia wapi hiyo kazi?
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  heshima kwako mkuu! Nia yangu humu jamvini ni kupinga wale wote wanaofisadi kodi zetu kupitia ruzuku na sehemu nyingine, pia usipende kuwaamini sna wachaga kwani mm ninawajua vizuri na ukitaka kuoamini niyasemayo we fatilia tu sera ya majimbo ambayo wanataka waiendeleze miji yao ya moshi na arusha alafu na kuacha sehemu ambazo hazina rasilimali kama tabora ziwe masikini.
   
 10. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama ni wewe unayekwenda kupoteza muda mahakamani kwa kuwa huna kazi, ukirudi nyumbani unamgombeza mama yako akupe ugali, kula kulala mna tabu nyie.
   
 11. S

  SAGJOV New Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kosa lako bali uvivu wa kufiri. Unajua Mnyika ni pasua bongo pale mjengoni ndo maana magamba at work. Tanzania sio ya ukabila wala udini. Plse try something smarter.
   
 12. J

  J.o.s.e.p.h Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ng'ombe j.i.k.e wewe.
   
 13. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  ruzuku gani hizo?
  sera ya majimbo: Unafahamu kwamba tabora ni moja kati ya mikoa inayoongoza kwa kuwa na machimbo mengi hapa tz? kuna migodi kama 18 hivi pale tabora. Maana ya kuwa na majimbo si kwamba kila mkoa utakuwa jimbo! ebo
   
 14. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mgodi tabora ni igunga na nzega tena ambapo yamebakia mashimo 2 so ni vyema hawa wachaga wa chadema waache ubaguzi wao.
   
 15. Simba Mangu

  Simba Mangu JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Pepe heshima kwako pia usiwe kama bahari anaponda azimio wakati enzi za azimio yeye aliweza soma, kuhusu sera ya majimbo labda huja soma vizuri ebu omba wanaoifahamu wakuelezee au wakuwekee hapa jamvini vinginevyo utakuwa na chuki binafsi. labda mimi niweke wazi mimi sio cdm wala ccm ila nipo mwl forum, hivyo usiwe na chuki kwa kua umesikia wenzio wakema hivyo adios
   
Loading...