Viongozi na wanachama wa CCM Zaidi ya 3680 wanasubiri Kadi za CHADEMA wilaya ya Same | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi na wanachama wa CCM Zaidi ya 3680 wanasubiri Kadi za CHADEMA wilaya ya Same

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by simon james, Apr 26, 2012.

 1. s

  simon james JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongoz wa CHADEMA Taifa Tunaomba mikutano ya ufunguzi wa ofsi Wilaya ya Same Kata ya Makanya, suji, Chome na Gavaosaweni kwani tunazo ofisi za Kata ambazo zipo tayari tangu mwez wa 1 ilabado hazijafunguliwa rasmi. Ikumbukwe kuwa kata ya makanya inayo madini ya jasi ambayo muda mrefu yamechimbwa bila kuunufaisha uma wa makanya, tunao udongo mwekundu ambao unasafirishwa kwenda kenya, liposhamba la mkonge na migogoro mingi ya ardhi. Tunaomba mje mapema mwezi huu kufungua ofisi zetu na matawi zaidi ya 30 kwani ni aibu tangu mwez wa 1 hakuna ufunguz rasmi. Kwasasa tunafanya mikutano ya kuchagua mabaloz na viongozi wa matawi ila hatuna vifaa kabisa yaan bendera, kadi na miongozoTuwasiliane 0788177315
   
 2. W

  Wemba Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nasikia hata Mwnkt wa Magamba hapo Same Mh. Kessy anataka kutoa gamba
   
 3. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Safi sana Mungu awatangulie katika hatua zenu hizo
   
 4. M

  Maliki Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zanzibar ni koloni la tanganyika. Mzanzibar shiriki katika harakati za kudai uhuru wa zanzibar - 2012.
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Nafikiri Same nayo ipo Kilimanjaro kama sijakosea
   
 6. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tumaini Makene uje kutoa muongozo huku tena haraka iwezekanavyo!
   
 7. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu huoni ni busara kuwasiliana na hao viongozi wako kwa taratibu za kiofisi, na kwa njia zinazokubalika kama nawe ni muhusika huko Same
   
 8. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mbarikiwe sana.
   
 9. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  But mpaka sasa ni ngome ya magamba si unakumbuka Anna kilango, Daniel Yona wote ni magamba wa Same sasa kama wanataka ukombozi safi sana
   
 10. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hongereni sana harakati zenu ni za kupongezwa makamanda! Nyie endeleeni kupiga kazi viongozi watawakuta njiani mkiendelea na ukombozi, naamini pia wamesha wasikia watawasiliana na nyie, pia nitachukua simu yako niwapatie viongozi ninaowajua!
   
 11. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Aisee asante sana kwa taarifa kama hizi. Ni changamoto kwa uongozi makao makuu, wachangamkie tenda!. Gharika/upepo wa madbadiliko na ukombozi umezidi uwezo wa kukusanya!


  This is very refreshing! Asante sana Simon
   
 12. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,271
  Trophy Points: 280
  nguvu yenu muipeleke mpaka mwanga maana nako kuna nguvu za yule mwovu.
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  wewe si msomali kwani hatukujui
   
 14. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkeo na wanao wote wanakucheka, wamepata kadi. kawaulize.
   
 15. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  I have never seen any constructive idea from your postings, you just post for reference sake, poor you.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Magamba yanazidi kupukutika tu.
   
 17. kilght

  kilght JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 626
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  kaka hongera kwa moyo wako safi wa kizalendo
   
 18. RUBERTS

  RUBERTS Senior Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwenyezi Mungu awape uvumilivu viongozi watakuja. Msikate tamaa kama hayo ni ya kweli. Tunawaombea sana Mungu azidi kuwafungulia njia na kuwapa maono zaidi.
   
 19. w

  wamwala Senior Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi kumbe bado hakuna ofisi ya wilaya ya chama letu. Mnyika na wengine fanyeni fasta jamani. Hongereni sana wana SAME Murungu amgenje Nguvu ya Vantu itisha sana. VIVA CHADEMA
   
 20. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushauri mzuri, ila lugha ya Malkia sijui kama ataielewa labda ungeutoa kwa lugha yetu ungemfaa.
  Siku njema.
   
Loading...