Anatafutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatafutwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Apr 26, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  awaomba watanzania wote mlipo muntafute kilanja mkuu anatafutwa na atuambie mbona ni mtoro darasani,mahudhurio yake yatamfanya afukuzwe shule huyu ni
  JAKAYA MRISHO KIKWETE anatokea bagamoyo mara ya mwisho alionekana brazil wakati darasani walikuwa wanazomeana yeyote atakamuona alipo
  amjulishe mwenzakemaana shule haina kilanja na akishapatikana
  tumuulize kwa nii asifukuzwe shule kwa utoro.
  Maeneo anayopenda kutembelea ni misibani,mara 2 za mwisho alionekana Sinza kwa
  Kanumba,na Malawi.
  Sehemu asizopenda kwenye matatizo sugu.
  :target:A
  Naomba kutangaza zawadi nono ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae.
   
Loading...