DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Anasema yeye na akina kisumo,butiku,warioba ni ccm asili wengine WACHUMIA TUMBO.
Mcheki itv, amejitambulisha mwenyewe kuwa yeye ni sisiem damu ile ya asili,na ndiyo maana anaonekana kavaa shati la kijani.
kumbuka ndani ya magamba kuna watu wachache ambao ni safi!!sidhani kwa kusema hivyo amejishusha heshima!!
anasema maaskofu na watu wengine wamepotosha kuhusu oic...anasema ni kitu kizuri(kuna misaada kibao)...eti waziri membe anaweza kuwaombea wazanzibari kujiunga na oic kwa sababu wanatimiza masharti ya kujiunga na oic(kuwa na population ya zaidi ya 60% waislam)...dah naona leo ntalala mapema sana...!
imeshakwisha...ndiyo maana anajichomeka kwenye kundi la akina samwel sitta...teh teh teh...!Mkinga ni matata,vp milioni mia ya voda kamaliza?
anasema maaskofu na watu wengine wamepotosha kuhusu oic...anasema ni kitu kizuri(kuna misaada kibao)...eti waziri membe anaweza kuwaombea wazanzibari kujiunga na oic kwa sababu wanatimiza masharti ya kujiunga na oic(kuwa na population ya zaidi ya 60% waislam)...dah naona leo ntalala mapema sana...!
strange!leo ametoka kimagamba kweli maana vitu kama misaada siku zote huwa anavipinga kwa nguvu zote kwa sababu tuna rasirimali za kutosha...sijui akina nape wameshamshughulikia?Jamani hii akili ya kufikiria Misaada inatoka wapi? Je hawa wanaotupa misaada wao wanapewa na nani?
Huu ni Upuuzi wa hali ya juu hii misaada inatupumbaza sana, kama kiongozi yeyote anayekuja kwa malengo ya kutuletea misaada au kutuombea misaada apotelee huko hatufai huyo.
Kwani unashangaa nini? Mbona hata Dr.Lwaitama ni CCM memba ijapo anaichana mwanzo mwisho?mbona Mzee Sabodo anadai yeye ni kada wa Tanu na CCM na bado anaichana CCM?
Mbona Filikunjombe anaichana CCM na yy ni mwanachama wao?Tafakari,chukua hatua.