kwa mara ya kwanza nakili kuipenda chadema toka moyoni.! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa mara ya kwanza nakili kuipenda chadema toka moyoni.!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by idawa, Apr 26, 2012.

 1. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,481
  Trophy Points: 280
  kumetokea vyama vingi vya upinzani lakini kazi ya chadema kusambaza elimu ya uraia haki na kujitambua ni ya kipekee. Vivia chadema.
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Mimi ningalikuwa moderator ningali kufungia kwa ufinyu wako huu wa akili na kutupotezea muda kwa mada ya kichizi .
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Karibu
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,583
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa unasubiri nn siku zote hizo mkuu. Karibu kwenye mapambano ya ukweli.
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,481
  Trophy Points: 280
  na ndio maana wewe sio mods sababu huna uchungu na taifa..na sidhani kama ungekua ndo wewe miongoni mwa mados wengine jf tungeisikia kwenye magazeti.!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Ccm hawana thamani sawa na ngozi ya nguruwe maana huwezi kuitumia kuwamba ngoma au kulalia kama kirago
   
 7. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,481
  Trophy Points: 280
  mkuu nilikuepo tokea siku nyingi chadema ila propaganda za ccm zilikua zinanichanganya sana.!
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,481
  Trophy Points: 280
  kweli mkuu nimemsikiliza leo Lissu kwa kweli ameniridhisha sana.
   
 9. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kariabu mwana mpotevu!
   
 10. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  siyo wewe tu hata nape naye anawaza hivihivi,sema shida njaa ndo zinamsumbua
   
 11. K

  KIGOMA KWETU Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....pole ndugu yangu hujui kilichopo kwenye vyama, ungesema unaingia msituni ningekuona wa maana,inchi hii hakuna chama chochote chenye kuleta msaada kwa wananchi... Twende poli ndugu yangu tujikomboe wenyewe si vyama
   
 12. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,481
  Trophy Points: 280
  mkuu unaonekana unamawazo mbadala zaidi fafanua tuungane.!
   
 13. d

  dguyana JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambie na mwenzio.
   
 14. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kimekuvutia nini??!!

  Walete na wenzio
   
 15. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,481
  Trophy Points: 280
  kiukweli nilikuepo M4C tokea siku nyingi ila leo toka moyoni.
   
 16. S

  STIDE JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Umechelewa sana kamanda!! Ila KARIBU SANA, kitu kimoja tu nakuomba usiwe MNAFIKI!!!

  Pigania nchi yako mkuu!!
   
 17. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,481
  Trophy Points: 280
  chadema kwa uknmbozi.!
   
 18. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,481
  Trophy Points: 280
  jamani popote ulipo sema chadema kwa ukombozi.
   
 19. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Sijaona tatizo lake mbona kajieleza vizuri tu toka heading hadi content yake.
   
 20. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hivi vyama vingine kama nccr mageuzi udp tlp cuf kwanini wasiungane na chadema waform one political party?? coz lets face it...hivi vyama haviwezi kua anywhere near where chadema is at the moment so wanapoteza muda...lipumba, cheyo, mrema 2015 hamuwezi kushinda urais hata kwa dawa au ni hizo ruzuku ndo mnazitaka?? join forces wote nyie under chadema and try and give ccm a run for their money tuone itakuaje....:rolleyez:
   
Loading...