miaka 48 ya muungano, je kero za muungano zimatatuliwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

miaka 48 ya muungano, je kero za muungano zimatatuliwa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tisa desemba, Apr 26, 2012.

 1. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  malumbano ya hoja, kipindi kimeanza itv, renatus mkinga yupo...

  renatus mkinga leo ametangaza rasmi kuwa yeye ni ccm asilia, haya kayazungumza mda si mrefu itv kipindi cha malumbano ya hoja...

  anasema ccm imegawanyika katika makundi mawili 1. ccm asilia, 2. ccm mafisadi
   
 2. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  anawapa shavu membe na sita kuwa ni ccm asilia
   
 3. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Mkinga atatoa Moto hapo.. OIC mpaka asilimia 60% ya waislam ifike ndo mnaweza kujiunga...

  KWELI KAZI IPO. Udini mtupu
   
 4. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  wanaotaka kuvunja muungano ni ma'imamu sio akina karume na shein by renatus mkinga
   
 5. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  tena leo kavaa kitu cha green kuthibitisha kuwa ni gamba asilia
   
 6. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kero:
  1. mfumo wa serikali (serikali 1, 2, 3),
  2. mfumo wa kibunge (rais wa zanzibar hateui wabunge kutoka bara)
  3.mfumo wa baraza la mawaziri (mawaziri wanatoka chama tawala je, ikitokea upinzan ukashinda zanzibar baraza litakuwaje?)
   
 7. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,078
  Trophy Points: 280
  Tunataka Serikali ya Mapanduzi ya Zanzibar(SMZ),Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika(SJT) na tuwe na serikali ya Muungano katikati (SJMT),kama kuwa na serikali 3 ni gharama basi hata hizi 2 yaani SMZ na SJMT hazistahili kuwepo make ni kuwanyima Watanganyika haki ya kuwepo kwa serikali yao ya SJT


  Hivyo ni serikali ama 3 ama moja ama sivyo muungano usiwepo katu.
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,078
  Trophy Points: 280
  Tunataka Serikali ya Mapanduzi ya Zanzibar(SMZ),Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika(SJT) na tuwe na serikali ya Muungano katikati (SJMT),kama kuwa na serikali 3 ni gharama basi hata hizi 2 yaani SMZ na SJMT hazistahili kuwepo make ni kuwanyima Watanganyika haki ya kuwepo kwa serikali yao ya SJT


  Hivyo ni serikali ama 3 ama moja ama sivyo muungano usiwepo katu.
   
 9. s

  southern Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  suala la muungano ni utata mtupu...
   
 10. m

  mbweta JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwanza nyerere alichanganya mchanga peke yake wa zanzibar na tanganyika bila karume kweli utata mtupu
   
 11. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  vijana wa zanzibar wanalia, muungano ujadiliwe upya...

  kero zingine...

  fedha, baraza la mitihani, elimu ya juu n.k
   
 12. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Za nini serikali zote hizo? Kikubwa tuwaache wazenji waondoke tubaki na Tanganyika yetu.
   
 13. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mod, naomba unirekebishie hiyo heading isomeke "miaka 48 ya muungano, je kero za muungano zinashughulikiwa?"
   
 14. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  muungano umeleta pombe, mavazi ya uchi n.k kule zanzibar n.k by mchangiaji itv
   
 15. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Huu ni upuuzi tena upuuzi mkuu. Hivi Zanzibar si ni mji wa kitalii? Ina maana hawa wazungu wanaowatembelea huko wanawagawiaga mabaibui? Ama pombe akinywa Mzungu sawa tu ila akinywa mtanganyika anachafua nchi yao?
  Hawa wapemba wametuletea uchafu mwingi sana hapa mjini lakini sisi tunawavumilia tuu, hivi hata ufiraji nao tumefundisha Wapemba? Au huu sio uchafu?
   
 16. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  zamani hakukuwa na chokochoko za muungano, aliyesababisha haya yote ni yule aliyesema zanzibar si nchi by mjumbe wa mjadala itv
   
 17. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ccm pekee ndo wanaweza kulinda muungano-mkinga
   
 18. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mawazo mgando!!
   
 19. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  katika mijadala yote aliyoshiriki mzee mkinga, wa leo sijamwelewa...
   
 20. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  haikatazwi ila naona hakutumia busara kutinga kwenye kipindi cha tv na gamba lake la ccm...leo naona ndiyo alikuwa anaanza rasmi 'kujiuza' kwa magamba...njaa mbaya bandugu...!
   
Loading...