Duu kumbe MKINGA gamba?

Mkekuu

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
1,237
170
Mcheki itv, amejitambulisha mwenyewe kuwa yeye ni sisiem damu ile ya asili,na ndiyo maana anaonekana kavaa shati la kijani.ANAONEKANA LIVE ktk marumbano ya hoja.
 
Kumbuka wazee wengi walianzia CCM, kwa hiyo si jambo la kushangaza watu kusema yeye ni CCM...

Ila Matendo yake ni CDM 100%
 
Mcheki itv, amejitambulisha mwenyewe kuwa yeye ni sisiem damu ile ya asili,na ndiyo maana anaonekana kavaa shati la kijani.ANAONEKANA LIVE ktk marumbano ya hoja.

mkuu ahsante kwa taarifa! Kumbe huyu mpiganaji ni mwenzetu wana ccm! Basi inabidi chama kimtumie ktk kutokomeza uchochezi na sumu chafu unaoonezwa na huyu muhuni lema.
CCM TUNA MUNGU, POLISI, MAHAKAMA BUT CHADEMA WAO WANA MUNGU PEKE YAKE.
 
Ccm tuna mungu, polisi, mahakama but chadema wao wana mungu peke yake.
ccm tuna majeshi,mahakama, serikali dhaifu, wazee wa kuhutubiwa, magwaride, majambazi, wezi, wanyonyaji, wakopeshaji kwa dada zao kama maige
 
Huyu Mkinga ni sisiemu damu. Na alijitosa kuwania ubunge jimbo la songea mjini, akichuana na emmanuel nchimbi. Zikazuka tuhuma za ushirikina. The rest is history.
 
mkuu ahsante kwa taarifa! Kumbe huyu mpiganaji ni mwenzetu wana ccm! Basi inabidi chama kimtumie ktk kutokomeza uchochezi na sumu chafu unaoonezwa na huyu muhuni lema.
CCM TUNA MUNGU, POLISI, MAHAKAMA BUT CHADEMA WAO WANA MUNGU PEKE YAKE.
umesahau kitu muhimu sana kwenu,hujamtaja shetani na yeye ni wenu pia.
 
Mcheki itv, amejitambulisha mwenyewe kuwa yeye ni sisiem damu ile ya asili,na ndiyo maana anaonekana kavaa shati la kijani.ANAONEKANA LIVE ktk marumbano ya hoja.

Unajua hatuna vyombo vya habari huru hasa ili Almasi Nyangasa akupe air time ya kutosha jifanye wewe gamba.
Naamini Mengi ni GAMBA kuliko mkinga. Watangazaji wamejaa uoga. Its time now to have a revolutionary Radio and TV.
Mkinga ata CCM hawamtaki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom