How JK snubbed Kagame | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How JK snubbed Kagame

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RUTAJUMBUKIRWA, Apr 26, 2012.

 1. RUTAJUMBUKIRWA

  RUTAJUMBUKIRWA Senior Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...This is because JK hakutaka kusikia chochote kutoka kwa Kagame, the arrogant guy of Kigali. Nasikia they dont see eye to eye because Kagame aliwahi kusema eti akipewa Tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!Na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia EAC bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi
   
 2. m

  majiyachai Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ulitegemea nini? Mzalendo na mhujumu uchumi kamwe hawawezi kuelewana.
   
 3. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  huo ndio ukweli...na siku zote unauma...anachotakiwa jk ni kuitafakari na kuchukua hatua lol!
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,031
  Trophy Points: 280
  manina mkweere anaskia kitu? sikio la kufa haliskii dawa...anajua kunywa togwa tu na kucheza mdumange
   
 5. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35

  Usiwe mwepesi kuhukumu kwa kumwita Kagame "arrogant." Ukweli ni kwamba aliyoyafanya Kagame kwa ajili ya nchi yake katika miaka michache ndiyo yanampa jeuri ya kuyasema aliyoyasema. Na kwa kiasi fulani ni ukweli mtupu na siyo "arrogance"
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  usijali akimaliza muda wake tutamfanya kama vile Charles Taylor alivyofanywa muda mrefu pale THE HAGUE
   
 7. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,496
  Trophy Points: 280
  ..We will have to get used to Kagame, he always speak his mind! No hypocrisy. He is a die hard Arsenal FC fan, he was even sent a birthday card (by Wenger) signed by all Arsenal players. After arsenal's sloppy start to the leage last year, he asked the club to sack Wenger!
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kwani kagame alisema uongo au?
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Shida ni kuwa huyu baba Ritz1 hataki kuukubali ukweli, kwani Kagame alikosea nini hapo? Ni wazi kama tz ikiwa na uongozi thabiti basi mambo hayapaswi kufika hapa yalipofika!!!!
   
 10. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ukweli ndo huo kiongozi wetu boflo..............
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Ukweli unauma!
  Hta tukibadilishana, sisi twende USA wao waje huku, bada ya 10 itakuwa disaster tu...
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  True empty....
   
 13. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nampa big -up sana kagame ana akili sana yule sio kiazi hiki aina ya nazi ya bagamoyo. Sasa yeye alitegemea aimbiwe nini ? Anashangaa yeye hana raslimali lakini mambo bye pamoja na kutoka vitani na udogo wa nchi leo hii rwanda iko juu kuliko tz. Hapa kwetu kikwete kazi yake ni kujipandisha academic rank mara dr nafikiri bado kidogo atapeleka mswada wa kumtambua kama professor kikwete. Maana udr hauna maana kwa sasa watu hadi madc wanajiita madr
   
 14. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280

  You can hate Kagame..but at least he have achieved somewhere.....hii nchi sio Kagame tu ...hata ukinipa Mimi....nitaifanya kuwa nchi iliyoendwelea ...tatizo mmeshajiapiza kuwa kuna watu wengine hii nchi hamtakaa muwape..........sasa ili kuchochea maendeleo na kutunza utaifa wetu .....tuweke serikali za majimbo......ili watu wafanye kazi za kuleta maendeleo ....wanaotaka kwenda taratibu...na kucheza ngoma ....wacha waendelee tu.......

  Majimbo Nane yanatosha nchi hii....serikali hizi zipo kila mahali na hazijavunja utaifa zaidi zimekimbiza maendeleo ...zipo China,Russia,India,Pakistan ,south Africa ....etc...la muhimu ni kuwa hakuna jimbo hata moja litaundwa kikabilan....ie

  Mashariki( pwani ,dar es salaam na morogoro)
  Jimbo la Kati (Dodoma,iringa na singida,sehemu ya manyara)
  Jimbo la nyanda za juu( mbeya,Njombe,katavi)
  Jimbo la mangaribi ( Rukwa ,kigoma,tabora)
  Jimbo la ziwa ( Kagera,mwanza,Mara)
  Jimbo la kaskazini(tanga ,Kilimanjaro ,Arusha ...sehemu ya manyara)
  Jimbo la kusini (Lindi,mtwara na ruvuma)
  Jimbo la visiwani ( defacto Kama muungano utasema serikali tatu hii tutaita ...serikali ya Zanzibar ...litakuwa eneo lenye mamlaka yote ...ukiondoa ulinzi..au usalama wa ndani na nje...tofauti na maeneo mengine amabayo yatakuwa tu maeneo ya utawala wa kimaendeleo ....na watendaji wake wataendelea kuwa vetted na central government ...ili kuimarisha utaifa)

  Serikali za majimbo zitawajibika zaidi kwa wananchi serikali kuu itaendelea kutoa muelekeo wa sera ....na kusimamia mambo...,na kusaidia majimbo.
   
 15. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Ukweli mgumu kumeza!!!!
   
 16. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Ni zaidi ya hayo...Kagame amekuwa akiudhika sana na JK suala la uchakachuaji mafuta yanayoenda Rwanda, akiwa na feeling kwamba JK alikuwa akifumbia macho uchakachuaji na kutochukua hatua madhubuti, na ndio maana hata alifikia hatua ya kuwaweka ndani madereva toka Tanzania waliopeleka mafuta yaliyochakachuliwa. Kwa kweli you can admire Kagame inapokuja kwenye suala la commitment ya maendeleo ya nchi yake. Tatizo lake kubwa ni kwamba ana philosophy ya "any means justifies the development of Rwanda and her people", hata kama ikibidi kuvunja vichwa vya watu wawili au watatu, dispensable casualties of development!

  Ila kuna mjinga mmoja Tanzania alisema tungekuwa nchi ndogo kama Rwanda tungekuwa tumeendelea sana, akisahau kwamba huwezi ku-assume tuwe nchi ndogo kama Rwanda lakini tuwe na abundance ya resources ile ile tuliyonayo Tanzania kama nchi kubwa!

  Ukweli ni kwamba Kagame ana uchungu na nchi yake na hataki mzaha au kulea ujinga ujinga kwenye masuala ya maendeleo ya Rwanda. Angala Rwanda inavyokwenda mchaka mchaka kwenye maendeleo sasa!
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hiyo sio arrogance, hiyo ni opinion ya mtu...unajua watanzania hatujui kurespect other ppo's opinions. Na alichosema ni ukweli madini yote tuliyonayo hapa, maliasili zetu zote, utalii, juzi nimesoma mahali kuna watu wanalalamika mount kilimanjaro haujawa unatangazwa vizuri nchi za nje ili kuweza kuvutia zaidi watalii hapa...kuna wazungu wengine nishakutana nao wanaamini kabisa kua mount kilimanjaro uko kenya AIBU!!

  Nilisoma mahali kua sisi tanzania tuna more natural gas kuliko Russia and yet russia hawana mgao wa umeme sisi tunao. Kagame is right, tungekua na Rais na Serikali ambayo ni kichwa..tanzania ingekua kati ya mataifa tajiri hapa duniani.
   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Inawezekana usiwe sahihi. Alikuwa anawasilisha nakala (sio original) ya hati zake kwa Membe.
  Ninavyoelewa kiprotokali, hatua ya kwanza unawasilisha kwanza nakala ya hati kwa Wizara ya Mambo ya Nje.
  Baada ya hapo inafuatia hatua ya pili ya kuwasilisha hati original kwa mkuu wa nchi.
  Kwa hiyo kama niko sahihi, alichofanya huyo balozi ni hatua ya kwanza tuu.
  Bado atafuata hatua ya pili kwa kuwakilisha hati original kwa Rais.
   
 19. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha.. Mkuu ukisema boflo unamaanisha ule mkate laini laini..?
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Msidanganywe na cosmetic changes, Rwanda ni kama ki mkoa kimoja cha Tanzania na bado wana matatizo kibao pamoja na udikteta na umaskini uliokithiri.
   
Loading...