CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makupa, Apr 25, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.

  Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Jinyonge!!!!!
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sasa unataka wajifungie maofisini badala waongee na wananchi wao.Hawa sio viongozi wa CCM wanaowaogopa hata kuwaona wananchi wao kwa madhambi yaliowajaa
   
 4. D

  DOMA JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Gamba@work
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  unakera na li thread lako la kijinga
   
 6. M

  Magwero JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Yaani umesema kitu kitakacho wajenga hawa watu,,ila ngoja wanachama wake waiyone hiyo jumbe..
  Kama siyo kufuta jumbe hii, watakuja na matusi au kashfa..!!
   
 7. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  jipange upya..........
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwani wanafanya hiyo mikutano kwenye sehemu moja kila siku?..Una kichwa wewe kweli?
  Nincompoop!
  Lunatic!
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  wewe ni gamba ulietumwa! we unataka wasiseme jinsi magamba wanavyo tunyonya!
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Vipi tena magamba yameanza kulalamikia "vyama vya musimu"? Nadhani wameshikwa patamu kwa sasa.
   
 11. d

  dguyana JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM - Ufisadi kila siku inakera..
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Kama inafaa mpelekee my wife wako!!!!!
   
 13. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Usiogope man 'chadema chama cha msimu',mbona nyie mnapora daily na juzi mlikataa ku step aside,na nyie MNATUKERA! Wewe utakuwa na ugonjwa uitwao 'mental disturbance'
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Hizi ni fikra mgando
   
 15. munisijo

  munisijo JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 868
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Pointless u gamba portion, wanachama ndo tnaolpia na kutaka mikutano iendelee, kama inakukera...tafuta safari!
   
 16. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  mkuu jana uliniponda sana kuleta mada ya waitara nikadhani we ni gamba la kwapa kumbe mpiganaji mwenzangu.B DA REAL PATIRSAN'F CDM MEN.
   
 17. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndio kazi ya siasa. Zile pesa za ruhuku wanazopewa ndio kazi yake, yaani kutoa elimu ya uzalendo kwa wananchi. CCM wanalamba at most 2 billion kila mwezi za ruzuku zinafanya kazi gani? Waacheni watumishi wa watu wafanye kazi iliyowapeleka.
   
 18. b

  boaz ngara Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ndo unakere kwanza umechafua hali ya hewa nabado ama vipi jinyonge
   
 19. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Weka ear plug na plasta machoni usisikie wala kuona mikutano ya M4C ya peoples power. Wakikaa kimya chama cha msimu, wakisema tumewachoka, lipi chema kwenu? acheni hila ya kwapa kunuka bila donda.
   
 20. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Pj waulize intelijensia ya mwema inatbiri ki2 gani,wanawashwa ujio wa lema countrywide.
   
Loading...