Nassary 2015 si mbali, Mvulie uvivu mzee mtei"

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Najua kwamba upo humu jamvini, kumbuka zile ahadi ulizotoa za kufanya harakati ktk kuwashinikiza wale wote waliohodhi ardhi ya wameru ili irudishwe tena mikononi mwa wananchi.
"OPERESHENI WAJIBIKAJI"
mhe kabwe zitto ameonesha njia kwa kuishinikiza serikali iwawajibishe viongozi wazembe wote,hapo ndio na ww unatakiwa uanze kwa kufanya harakati ili kumshinikiza mzee mtei arudishe ardhi kubwa aliohodhi kule meru na ikibid uandae maandamaano rasmi ya kumshinikiza huyo mzee arudishe ardhi ya wananchi na baada ya hapo ufate kwa wawekezaji na ndipo utakuwa umetimiza ahadi na dhana nzima ya ' OPERESHENI WAJIBIKAJI.
 
Mzee Mtei ni mmeru, kama haruhusiwi kumiliki ardhi then hilo ni tatizo..

Hao wazungu wanaocheza golf huko kwenye ardhi za kilimo ndio wanapaswa kurudisha...
 
Mi naomba niulize kwani wameru hawawezi kuhama kutafuta maeneo mengine ya kufanya shughuli zao mbona Tanzania kubwa sana.Hivi mnataka kuniambia wenyeji wote wa Kilimanjaro wakirudi kwao ardhi itatosha ile.Mi nilikuwa nawaomba wa meru embu waige wachaga lasivyo watauwana sana.
 
Akili nyingine bwana..mtei ni mzawa na hatumii shamba kucheze farasi,yote ina mikahawa.GAMBA LA KWAPA UNAPENDA KUINTERTAIN UDINI NA UKABILA..
 
Wazungu wanaofuga farasi, na kucheza golf ndio waaanze kwanza wafuate wanaolima maua ambayo yanachafua mazingiza kwa sumu kali zinazotumika ,mashambani huko na ambao hata kodi hawalipi, mbona ukiacha mtei wapo wazawa wengi tu wana ardhi kubwa? hao hatuna shida nao kwa sasa!! kwanza tuondoe hawa wakoloni, kama vipi wafuate wazawa ambao wana ardhi kubwa kupindukia wawagawie wenzao ambao hawana!!
 
Huyu gamba katumwa kweli mbona kuna wazawa wengi wanamiliki ardhi kubwa lakini umemwona mzee mtei mwenye hiyo ndogo hapo na kuna hawa wageni wenye maelf ya ekari .ACHA UMAGAMBA FIKIRIA MAMBO YA KUPOST TIME NYINGINE NAKUTUKANIA Baba yako.
 
Najua kwamba upo humu jamvini, kumbuka zile ahadi ulizotoa za kufanya harakati ktk kuwashinikiza wale wote waliohodhi ardhi ya wameru ili irudishwe tena mikononi mwa wananchi.
"OPERESHENI WAJIBIKAJI"
mhe kabwe zitto ameonesha njia kwa kuishinikiza serikali iwawajibishe viongozi wazembe wote,hapo ndio na ww unatakiwa uanze kwa kufanya harakati ili kumshinikiza mzee mtei arudishe ardhi kubwa aliohodhi kule meru na ikibid uandae maandamaano rasmi ya kumshinikiza huyo mzee arudishe ardhi ya wananchi na baada ya hapo ufate kwa wawekezaji na ndipo utakuwa umetimiza ahadi na dhana nzima ya ' OPERESHENI WAJIBIKAJI.

bora umesema ukweli mkuu maana hawa magwanda wa kichaga nao ni wezi kama yule mvuta bangi wa arusha lema pia na hao wakina slaa ni wezi na kaiba ipad mwanza na anasakwa na polisi pia acheni kula ruzuku bure wezi wakubwa nyieeeee
hivi jamani mnadhani tukiwapa chadema nchi yetu itakombolewa?na mjue wazi kuwa chadema hatuwapi nchi wana ajenda yao nyuma ya pazia alafu ninyi wakosa akili mnashabikia uozo wa wachagaaaa jamani nawasilisha hoja yangu hiiii mimi sio gamba na wala sio chadema mimi ni mwana anae fikiria mbali ninyi mna macho mawil mengine kachukuwa zito wenu huyu na atawaacha pabaya mtakumbuka upuuzi wangu.
 
Wote si wanahodhi ardhi? Mzungu akihodhi na mweusi akihodhi wote sawa tu. Tatizo siyo kumilki bali kuhodhi.

Mkuu, yaonekana wewe wakijua sana kiswahili!
Ebu fafanua tofauti ya kuhodhi na kumuliki ni nini?
 
bora umesema ukweli mkuu maana hawa magwanda wa kichaga nao ni wezi kama yule mvuta bangi wa arusha lema pia na hao wakina slaa ni wezi na kaiba ipad mwanza na anasakwa na polisi pia acheni kula ruzuku bure wezi wakubwa nyieeeee
hivi jamani mnadhani tukiwapa chadema nchi yetu itakombolewa?na mjue wazi kuwa chadema hatuwapi nchi wana ajenda yao nyuma ya pazia alafu ninyi wakosa akili mnashabikia uozo wa wachagaaaa jamani nawasilisha hoja yangu hiiii mimi sio gamba na wala sio chadema mimi ni mwana anae fikiria mbali ninyi mna macho mawil mengine kachukuwa zito wenu huyu na atawaacha pabaya mtakumbuka upuuzi wangu.

Nafikiri ALANBLUE hujui thamani ya Ipad na ardhi....! kati ya wezi wa mali ta umma wanaonunua nyumba kwa dola laki 7 tena kwa pesa ya walipa kodi,na huyo unaesema kaiba Ipad ni nani BARADHUL?
yakupasa uchukue kile kinachofanywa na MAGAMBA kwa faida ya vizazi vijavyo, hapa chama hakina nafasi
 
Wakuu huyu mzee mtei si wakuchekewa kwani yy ni sawa na hao mabepari2.
 
Back
Top Bottom