Wayahudi Walimpinga Yesu Itakuwa Gaucho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wayahudi Walimpinga Yesu Itakuwa Gaucho?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Feb 9, 2012.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,
  Sota tunajua mizengwe iliyofanywa Gaucho akapata hicho cheo,
  Yeye ni mdhambi kwa nini asiondolewe. Anaharibu mipango mingapi mizuri ya nchi yetu?
  Hata anayelia lia kutaka kuhurumiwa ni vizuri aanchie ngazi tumeshamchoka
  Mijitu minginee imechoka hadi nywele imebaki ni ubabe tuu hadi mjengoni?

  Yesu alikataliwa licha ya kuwa alikuwa anawafanyia mema wayahudi, kwani Gaucho ana nini zaidi kutuharibia nchi?
   
 2. e

  evoddy JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Fafanua zaidi acha woga who is he or she?
   
 3. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ufafanuzi mkuu
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Huyu Gaucho ni nani?...na mizengwe ipi inayohusika na cheo chake_hebu funguka mkuu.
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Bi Kiroboto a.k.a. Bi Kidude. Mizengwe ilikuwa mafisadi kina EL kutumia kigezo cha jinsia kumtoa Sitta kwenye mbio za Uspika.
   
 6. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,215
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Mjengo ni BUNGE,Gaucho ni Mh Anne kwa uelewa wangu mdogo coz ana fanana na Gaucho mchezaji interm of Meno, Majungu alimfanyia Mzee 6.Jamani nimeunganisha DOT Kupata Maana.
   
 7. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,215
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Anne makinda
   
 8. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Aondokeeee!:poa
   
 9. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280

  Ni vizuri kwa kuliona hilo, ni bora aondoke hana lolote
   
 10. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  Nilitegemea angekuwa wa kwanza kumwaga wino.
   
Loading...