Huwa ninajiuliza kila siku , kama Kikwete amepewa ripoti ya CAG iliyo chafu namna ile, madudu yanayoendelea kila kona ya nchi hii, kashfa za bandari , ATC, mawaziri wezi, rushwa, halmashauri...
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe, ameapa kuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kutetea Watanzania wanyonge na kwamba haogopi vitisho uchwara vinavyotolewa na baadhi ya watu...
Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.
Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka endapo...
Written by administrator // 26/04/2012 // Habari // 1 Comment
23/04/2012
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Ikulu
Zanzibar
YAH: UDHALILISHAJI WANAOFANYIWA WANANCHI KWA...
hivi karibuni tulisikia Riziki ana malory kadhaa, na zaidi ya hapo tunaona na waziri wa utalii naye yumo kwenye biashara hiyo, sasa tukiwa na watu namna hiyo kweli ipo siku serikali wakapitisha...
Baada ya Ukuu wa mkoa kuwa mahsusi zaidi kwa wanajeshi,
CCm wameamua kuhamishia ujuzi huo ndani ya chama?
Sehemu kubwa ya uongozi wa juu umeshikiliwa na wanajeshi. Kulikoni?
Au ndo maana na...
Heshima kwako mwanajf!
Zipo tetesi kwamba, Ndugu Shekifu aligawa rushwa katika uchaguzi mkuu wa ubunge mwaka 2010 ili apitishwe kwenye kura za maoni za ndani ya chama mpaka uchaguzi wenyewe wa...
Baada ya Kikwete (kupitia Pinda) kutangaza hapo kesho kwamba hakuna waziri atakayejiuzulu kutokana na sakata linaloendelea, Mkuu huyo wa Kaya atakutana na Wazee wa Mkoa wa Dar es Sakaam siku ya...
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda anapaswa kuagiza timu ya wataalamu aliyoiunda kufuatia mkutano wake wadau wa viwanda vya nguo kufanya uchunguzi maalum kuhusu kiwanda cha nguo cha Urafiki.
Mnyika...
wana JF
baada ya gazeti la Mwananchi la Alhamisi iliyopita kuanika kiasi cha fedha zilizoibwa na mawaziri wa JK, nilianza uchunguzi wa chini kwa chini kujua kiasi hicho kikubwa cha fedha kinaweza...
Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa...
Ni wajibu wa kila mtanzania kuhoji na kutaka kujua mstakabali wa rasilimali za taifa lao.Katika kufuatilia hayo napata taabu kujua ni nini nia yetu hasa katika hili.
1.TATIZO NI UWAZIRI AU...
Hali inatisha, kama watanzania wataendelea kubeba mzigo huu ambao haupungui uzito bali kuongezeka. Jamaa wanazidi kuiba na kuchukua CHAO MAPEMA tunaelekea wapi ikiwa hata wasiofikirika wanafanya...
Katiba ni sheria mama hivyo huwezi kutumia sheria za kawaida zinazopitishwa na wabunge kwa maana ya simple majority ya wabunge waliokamilisha koram ya siku hiyo ili kurekebisha sheria ambayo...
Kundi la wananchi wa Zanzibar wamekusanyika leo nje ya ukumbi wa baraza la wawakilishi kudai hoja yao ya kutaka iitishwe kura ya maoni juu ya muungano ijadiliwe na baraza hilo.
Wananchi hao...
KESI inayomkabili mbunge wa Singida mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu, iliyofunguliwa mjini Singida
kupinga ushindi uliomweka madarakani, itatolewa leo ijumaa (Aprili 27, mwaka huu)...