Katika muungano yawezekana?

inocent

Member
Jan 25, 2012
13
4
Wana jamvi ninavyojua mimi Wizara ya Afya sio ya muungano.
Walioteuliwa katika wizara hii(Waziri na Naibu wake) ni wabunge kutoka upande wa pili wa muungano(Zanzibar).
Je hili linawezekana ?
Naomba kujuzwa wanajamvi.
I am standing to be corrected.
 
Back
Top Bottom