Tuchore mstari mabadiliko baraza la mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuchore mstari mabadiliko baraza la mawaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mharakati, May 5, 2012.

 1. m

  mharakati JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Katika wale walioachwa nje ya mabadiliko haya kuna wale Rais aliona lazima wachukue majukumu ya kisiasa kama wakuu wa wizara lawama zote zinawaangukia wenyewe na Jk mwenyewe kugusia hili jana wakati akitangaza. Na kuna wengine walikua ni mzigo tu kwa serikali hii kutokana na kujihusisha moja kwa moja na uzembe na ubadhirifu.

  hapa tuchore mstari 1. nani amehusika moja kwa moja na uzembe, ubadhirifu, wizi na ulaghai ulioleta hasara hizi kwa taifa. 2.Nani hakuhusika moja kwa moja sema alijua na akaziba masikio kulindana, na 3.nani hakuhusika hata kidogo ila imemlazimu kukubali jukumu la kisiasa

  1. hapa yuko Mfutakamba, Mkulo, Maige, Ngeleja

  2. hapa tunamweka Dr Chami (dr kibinafsi hajakwapua kitu ila alijua madudu akaamua kunyamaza na kuwalinda walio chini yake)

  3. hapa tunamweka Nundu, Dr. Mponda, Dr. nkya (wizara ya afya ni ngumu ule wizi pale msd ni wa muda mrefu-Blandina nyoni, na wakurugenzi wa wizara na msd wanahusika, Nundu yeye alitofautiana na deputy wake aliyekua na nguvu ya watu wakubwa nje, akajaribu kublow the whistle ila ilikua too late )

  mawazo tofauti yanakaribishwa
   
Loading...