Tuongee asubuhi star tv leo 05.05.2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuongee asubuhi star tv leo 05.05.2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ringo Edmund, May 5, 2012.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  NAONA MJADALA UMEPAMBA MOTO ILA KUMKOSA YAHAYA MUHAMED TUNAKOSA UHONDO JF.
  ombi kwa bwana yahaya muhamed atusaidie kuweka hata id ya star tv ili kila kipindi jf ishirikishwe.namsikia doto buhendo akiitaja jamii forum sijui kaama atatupa nafasi.
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sorry mwaka ni 2012.
   
 3. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  angalau kidogo rais amejitahidi baraza linaweza kwenda vyema na kwa vile hali ya sasa ilivyo moto na imani mawaziri watakuwa makini sana tutegemee umakini
   
 4. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  nilichopenda ni kwamba uwajibikaji utaanzia chini sio kwa waziri tu, hii itasaidia watu wajirekebishe kidogo
   
Loading...