Katika hotuba yake (Raisi) ametoa utaratibu mpya wa uwajibikaji ambao naona ni mzuri iwapo utajengewa utaratibu wa wazi. Kasema kuanzia sasa, uwajibikaji utahusisha utahusisha makundi Matatu: moja, ni wale wenye dhamana ya kisiasa (mawaziri), pili watendaji wa wizara(makatibu na wakurugenzi), tatu mashirika ya umma (wakurugenzi na bodi zake). Kuna mambo ya msingi katika hili
a) mipaka ya madaraka ipo lakini mazoe yanaonyesha kunamuingiliano mkubwa katika utendaji. Ilikubadilisha hili watendaji wa chini inabidi wajengewa mifumo mizuri itayoweza kuwapa uhuru wa kukataa matakwa AMA maagizo kutoka juu.
b) kusimamisha kazi makundi yote matatu kwa wakati mmoja inaonyesha upungufu mkubwa sana katika uwajibikaji. Nadhani lengo ni kuwa utaratibu ambao unatoa uwajibikaji kwa kila kundi. Ila iwapo, wazi I atashidwa kuwajibisha mashirika AMA watendaji wake mpaka sauti ya umma, basi waziri huyo hata kama safi, atawajibika kwa kushidwa kutimiza majukumu yake ya kiuongozi