Hivi hawa mawaziri waliotemwa kwa tuhuma za ufisadi watashitakiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hawa mawaziri waliotemwa kwa tuhuma za ufisadi watashitakiwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sodeely, May 5, 2012.

 1. sodeely

  sodeely Senior Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Wana bodi.,
  Napenda kuuliza pia nipate ufafanuzi juu ya hili..
  Jana tumemsikia mkuu wa kaya akitangaza baraza lake la mawaziri, na huku wale waliohusika na ufisadi wakiachwa..
  Swali langu, je, watashitakiwa? Kwa anaeelewa anifafanulie...
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nimemuuliza JK akajibu hivi: "washitakiwe, kwani wamefanya kosa gani"?
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  2016 chini ya President Dr Willbroad Slaa
   
Loading...