Makamo wakwanza wa Rais ZNZ Maalim Seif Shariff Hamad akutana na viongozi wa UAE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamo wakwanza wa Rais ZNZ Maalim Seif Shariff Hamad akutana na viongozi wa UAE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, May 5, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1]Picha:MAALIM SEIF RAS AL KHAIMAH[/h]Written by administrator // 04/05/2012 // Habari-Picha // 1 Comment


  [​IMG] Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Ras Al Khaimah katika Falme za nchi za Kiarabu UAE alipokutana nao wakati kiongozi wa Ras Al Kheimah Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasmi alipomualika chakula cha mchana, tarehe 2 Mei, 2012. Maalim Seif alipitia UAE akitokea India na anatarajiwa kurejea nchini leo jioni, tarehe 03 Mei, 2012. (Picha kwa hisani ya OMKR). [​IMG] Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na kiongozi wa Ajman ambaye pia ni mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Ajman katika Falme za nchi za Kiarabu UAE Sheikh Humaid Bin Rashid Al Nuaimi wakati walipokutana tarehe 01 Mei, 2012. Maalim Seif alipitia UAE akitokea India na anatarajiwa kurejea nchini leo jioni, tarehe 03 Mei, 2012. (Picha kwa hisani ya OMKR). [​IMG] Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Ras Al Khaimah katika Falme za nchi za Kiarabu UAE alipokutana nao wakati kiongozi wa Ras Al Kheimah Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasmi alipomualika chakula cha mchana, tarehe 2 Mei, 2012. Maalim Seif alipitia UAE akitokea India na anatarajiwa kurejea nchini leo jioni, tarehe 03 Mei, 2012. (Picha kwa hisani ya OMKR).


  Shukurani za dhati kwa mwandishi Salma Said
   
Loading...