JK unavunja Baraza la Mawaziri unamuweka nani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK unavunja Baraza la Mawaziri unamuweka nani??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Apr 26, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Rais wangu kama una kusudio la kuchagua Baraza jipya la Mawaziri ili kuziba mianya katika baraza lako liliopwaya kutokana na kashifa mbalimbali na utendaji usio ridhisha kwa umma na kukiuka maadili ya utumishi wa umma, na hawakuweza kufikia malengo yale uliyowawekea kutokana na semina elekezi lukuki ulizo wapa pale kwenye Hoteli ya engudoto!Mimi wasiwasi wangu usije ukaruka majivu ukakanyaga moto!kwani mimi nionavyo sijajua utawatoa wapi hao mawaziri wapya! Au utateua hata waupinzani ili kuokoa nchi yetu isiende mlama??
  Hebu tuangalia ni waziri gani au mbunge anafaa kuwa waziri??
   
 2. Simchezo

  Simchezo JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mwakyembe waziri wa nishati na madini, samwel sita waziri mkuu
   
 3. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  anao ubavu?
   
 4. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 869
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hakuna binadamu hai asiye na ubavu. Labda tumia neno jingine ueleweke
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Sita mumemsahau wakati akiwa speaker??kweli leo awe waziri Mkuu tutasalimika?
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,943
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  Lusinde
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Niliuliza hapa ubaoni je JK anavunja baraza la mawaziri ninani anamuweka??lakini mimi nimeona katurudisha nyuma baada ya kwenda mbele!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...