Watuhumiwa wa mauaji ya M/kiti USA-River CDM wakamatwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watuhumiwa wa mauaji ya M/kiti USA-River CDM wakamatwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, May 4, 2012.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Watu sita wamekamatwa na polisi wilayani Arumeru, watatu kati yao kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema, Kata ya Usa River, Msafiri Mmbwambo, na wengine kwa tuhuma za uvamizi wa mashamba ya wawekezaji.

  Habari zilizopatikana jijini hapa jana na kuthibitishwa na Naibu Kamishna wa Polisi, (DCP), Isaya Mngulu, zilisema jana kuwa waliokamatwa ni wenyeviti wa vitongoji vitatu, lakini hawakubainisha kama ni viongozi wa chama gani.

  DCP Mngulu hakutaka kutaja majina wala kuthibitisha kwamba waliokamatwa ni wenyeviti na wa vitongoji gani. Marehemu Mbwambo aliuawa kinyama wiki iliyopita kwa kuchinjwa na mwili wake uliokotwa kando ya makaburi wilayani humo.

  CHANZO: NIPASHE
   
 2. M

  MAJOKA New Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli siasa zetu zimefika huko! mpaka tutoane roho kwa sababu ya siasa! Ama kweli siasa hizi zina hitaji moyo. Haki itendeke. ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga.
   
 3. m

  mvunjamiwa JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ....tusubiri taarifa zaidi ili tujue ni wa chama gani na walikuwa na sababu za kisiasa au vinginevyo. Inatisha sana!
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wakithibitika basi nao wanyongwe publically ili iwe fundisho.
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wewe shadadia tu,unaweza kukuta watuhumiwa ni wenyeviti wa Chadema...
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  ni wa ccm tu hao ila hawatatajwa!
   
 7. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata kama ni wa CDM haki itendeke
   
 8. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wangekuwa wa chadema mbona matangazo yangekuwa tayari kila mahali kuanzia tbc na gazeti la uhuru na mzalendo ingetoka leo badala ya jpili

   
 9. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hao ni sisem tu maana wameishiwa sera yakuwaambia wananchi na wameamua kuwatishia kwa mauwaji
   
 10. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CCM bana!!

  Aibu itawakumba sana!
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ukute walioua ni usalama wa ccm, waliokamatwa wazururaji wakabambikiziwa kesi.
  By the way, tunataka haki itendeke
   
 12. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Sisi tunachotaka ni muuaji akamatwe basi
  awe wa CDM awe wa CCM doesn't matter hatutaki huu upuuzi uendelee.
   
 13. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,164
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Nasikia ni kweli ni viongozi wa magamba na wengine wamekamatwa na cm pamoja na panga so this info its true but let us wait our police for more investigation
   
 14. d

  davidie JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata kama ni wa chadema wachukuliwe hatua kali za kisheria kwani chadema ndio wanapenda upuuzi?
   
 15. N

  Ndaskoniax Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu aibariki Tanzania haki itendeke kote
   
 16. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Usiofu kama ni wenyeviti haina haja ya kuwataja majina wala vyama, maana watajulika waligombea kupitia vyama gani ili kupata uenyeviti wao, na nani mwenyekiti wa kitongoji husika.
   
 17. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Kwani adhabu itabadilika kwa kutegemeana na political affiliation ya mhusika?????? kwa hiyo akiwa CHADEMA adhabu yake inatakiwa iweje na akiwa CCM adhabu yake inatakiwa iweje KWA KOSA HILO HILO??????duh, kweli siasa inatawala na kuathirir adversely mawazo na akili zetu...
   
 18. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Kwani wa chadema ndio wenye haki ya kumchinja mwenzao?
   
 19. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoja tuone hatua zipi zitafuata....
   
 20. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Kama vipi hao wangenyongwa tu fasta. Mambo ya kuhojiwa baadaye.
   
Loading...