Mawaziri watakaomwangusha JK

Title umekosea, hakuna wa kumwangusha bali jamaa mimi nimebaki namcheka tu hahahahahhahahah maana capacity yake ni ndogo kuwa president alidhani kuna kucheka cheka kumbe lazima uweze ku deliver, umemuona alivyokuwa amekausha koo ? hana hamu ingekuwa ni bar angeishia bila kuaga na bado lazima tummalize hivi hivi anajuta kwa nini alililia urais. ngemwachia Dr. wa ukweli sasa hivi angekuwa anatabasamu na wananchi, sasa hivi JIk anasema tunamwonea watanzania wote eti tumwonee mtu mmoja. hahahahahhahahhahhhahah. So Kajiangusha mwenyewe
 
Baraza la leo JK alikuwa anatangaza msiba wa CCM kabisa, na wafuatao ni janga kwa taifa lakini bado wameendelea kuchomoza kwenye baraza hili la huyu raisi wenu;
  1. Hawa Ghasia,nashindwa kuelewa huyu ana-merits gani kwa JK na serikali yake..naanza kuwa na shaka.
  2. George Mkuchika,huyu jamaa kaacha madudu kule tamisemi sasa kapelekwa kwenda kutengeneza madudu mengine wizara nyingine.
  3. Anna Tibaijuka,huyu mama ni muoga na wamempa wizara nyeti sana kwasasa yenye changamoto nyingi mno hasa za ugawaji wa ardhi kama njugu kwa wawekezaji tazama muziki wa Arumeru Mashariki nk
 
Maghembe tusitegemee kitu,
-JANUARI,TUTEGEMEE UHASAMA NA WATENDAJ WAKE,ATATAKA KUFANYA KAZ THRU MEDIA.
-kombani yaleyale
-prof sospeter ataangushwa na j.k mwenyewe
-
 
  • Thanks
Reactions: tz1
waziri wa habari na michezo pale hamna kitu...yaani vyama vya michezo hapa nchini nawapeni pole...vumilieni mpaka 2015 mtakombolewa:thinking:
 
Title umekosea, hakuna wa kumwangusha bali jamaa mimi nimebaki namcheka tu hahahahahhahahah maana capacity yake ni ndogo kuwa president alidhani kuna kucheka cheka kumbe lazima uweze ku deliver, umemuona alivyokuwa amekausha koo ? hana hamu ingekuwa ni bar angeishia bila kuaga na bado lazima tummalize hivi hivi anajuta kwa nini alililia urais. ngemwachia Dr. wa ukweli sasa hivi angekuwa anatabasamu na wananchi, sasa hivi JIk anasema tunamwonea watanzania wote eti tumwonee mtu mmoja. hahahahahhahahhahhhahah. So Kajiangusha mwenyewe
watamwangusha kivipi?
 
wakuu kwa ambao ni wapya ni heri kuwasubiria tuone utendaji wao, si busara kumsakama mtu bila ya hata kujua uwezo wake vyenginevyo itakua kama mipasho isiyo na mwisho jamvini, bcs tukipenda tusipende pilato ndo keshaamua kuwateua na cc km raia hatuna budi kukubali.
 
Mkuu let me mentioned by few:
  1. Wassira
  2. Lukuvi
  3. Simbachawene
  4. Magembe
  5. Makamba
  6. malima
  7. kawambwa
  8. Ghasia
  9. Mkuchika
Siku zote Ushindi ni wa wote ila kufungwa ni kwa Meneja.Kwahili Kikwete hawezi kukwepa hili zigo unapanga timu mbofu unategemea nini!
 
kama kawaida ya kulipana fadhila. makamba kapewa lakini hapa jk kachemsha sana. hatujakubali watz.
 
George mkuchika, mambo ya kipele kupata mkunaji. Ile wizara na kazi zile ndo anazozijua. Kwingine ilikuwa longolongo tu.
 
Kweli hapo Jk kachemsha na yeyd anaiuwa ccm kwa mikono yake mwenyewe. Mbona kuna wabunge wengi sana bungeni?
 
kilichonichosha zaidi ni kumpa Kigoda wizara ya viwanda huyu bwana tangu enzi za mkapa ni madudu ma2pu bwana Mwandosya ashajizeekea mpk basi lkn bado anamweka2 eti 'waziri asie na wizara maalum' huyo Selina Kombani ndo kamtwisha U2mishi atauweza?? Sina imani na washauri wake km sio washauri bac mkubwa ujuaji umemzidi aaaaaaagh....!
 
Back
Top Bottom