Navutiwa Sana na JK, ana Mbinu nzuri mno

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
UTEUZI wa Jemsi Mbatia. Unamaanagani kwangu.

Ni siasa uchwala za kudili na watoa hoja na si hoja zenyewe.
Tabia hii huzalisha wanaharakati wengine wengi zaidi na mapinduzi hatari. Yani ni sawa na ndevu zikianza kuota ukizinyofoa au ukizinyoa ndio huota nyingi na zenye ushirikiano wa kutosha.

Cheo tena kisichokuwa na madaraka Ni hongo yenye nguvu zaidi kuliko hongo zote duniani kwa mwanasiasa.
Namifano mizuri tu.

Uteuzi wa Jusa kuwa Mbunge ulivyompofua macho.
Uteuzi wa zitto kwenye kamati ya kuchunguza mikataba ya madini ulivyomfanya kuwa mnafiki
Umakamu wa maalimu tena usio na madaraka ulivyomfumba mdomo.
Bilali mpinga muungano na
umakamu usiokuwa na kazi maalumu
alivyotulia

kutumika kwa mahakama Kulianza zamani ata Mandela na Mashudu Abiola ziliwafunga lakini mwisho wa siku ukombozi ukapatikana. Babu sea ipo siku atatoka na ataimba wimbo wa huzuni. Kesi za uchaguzi na epa zinatuuma.

Kama majeshi ata wakoloni walikuwanayo imara zaidi lakini waliondoka.

Wapinzani msinyamaze mkitegemea kuhongwa vyeo. Kwani mkikaa kimya ata milima itasema.

ZITTO alianza usaliti akashuka wakapanda akina Slaa,TUNDU LISU,MNYIKA,MDEE,WENJE, NA kamanda Lema

Ungetakiwa kudili na wabadhilifu na sio uteuzi

Zittooo! DENDA la uwaziri linamtoka. Unatamanishwa tu hupewi watamvua umwenyekiti wa chama
Mbatia ua NCCR bungeni kwani wanatabia ya kuungana na CHADEMA.
Toa kafulila anatusumbua kweli.

Mbatia

Navutiwa na JK NYERERE sio jk
 
huna akili ww,una wivu wa songombwiko,huyu zitto km vp mfukuzeni cdm basi,maama anatishia mafasi ya mkwe wa mwenye chama maana hatokubali hata siku moja cdm achukue mtu wa kanda nyingine tena kijana kwa maana atakaa muda mrefu.walimpa Bob wakijua kwa umri wake hatokaa sn.
 
Gwanda linaporowa jasho, hapakaliki! ni nani abishae?
 
Sishangai kwa uteuzi huu. Hizo ni tabia za kisiasa na kasoro kubwa zilizo kwenye katiba yetu. Hakuna rais kwa katiba zetu hizi yeyote ambaye angependa kuwa karibu na mtu anayembishia au kumpinga. Hata inayokuja itakuwa hivyo hivyo, rais kuwa na mamlaka ya uteuzi. Mtaona na kukumbuka hili.
 
we unataka apewe baba ako, nimegundua ww ni m2 wa chuki xana huna lolote, zito zito...kafanyaje? acha woga.
 
Njia ya muongo ni fupi, JK na washirka wake sasa tunawajua; tuliposikia fununu tulizani uongo sasa kweupe; hili ni nafuu kwa CDM maana ikisema iko serious na haifanyi kazi na vibaraka kila mtz anaelewa kwa uwazi zaidi, mungu akiwa upande wetu kila kitu kiovu juu yetu kitafichuka tena chenyewe kama NCCR ilivyofichuka. CDM OYEEEEEEEEE, tunazidi kuwakubali kwa kuwa mko makini sana, kila mnalosema linakuwa ni kweli tena kweli tupu.
 
Kuna mmoja anaitwa Devutwa, nilitarajia angeteuliwa yeye kwa vile alijitolea kura zake za urais
 
Nadhani JK anamwandaa Mbatia kulitwaa jimbo la Kawe baada ya kushindwa ktk uchaguzi uliopita. Anataka ampe uzoefu wa bongeni ili 2015 apambane na Mdee. Si mnakumbuka jamaa alikuwa amefungua kesi lakini akaichomoa. Nadhani kuna mahesabu yalikosewa na mkuu wa nchi sasa anajaribu kuyarekebisha.
 
UTEUZI wa Jemsi Mbatia. Unamaanagani kwangu.

Ni siasa uchwala za kudili na watoa hoja na si hoja zenyewe.
Tabia hii huzalisha wanaharakati wengine wengi zaidi na mapinduzi hatari. Yani ni sawa na ndevu zikianza kuota ukizinyofoa au ukizinyoa ndio huota nyingi na zenye ushirikiano wa kutosha.

Cheo tena kisichokuwa na madaraka Ni hongo yenye nguvu zaidi kuliko hongo zote duniani kwa mwanasiasa.
Namifano mizuri tu.

Uteuzi wa Jusa kuwa Mbunge ulivyompofua macho.
Uteuzi wa zitto kwenye kamati ya kuchunguza mikataba ya madini ulivyomfanya kuwa mnafiki
Umakamu wa maalimu tena usio na madaraka ulivyomfumba mdomo.
Bilali mpinga muungano na
umakamu usiokuwa na kazi maalumu
alivyotulia

kutumika kwa mahakama Kulianza zamani ata Mandela na Mashudu Abiola ziliwafunga lakini mwisho wa siku ukombozi ukapatikana. Babu sea ipo siku atatoka na ataimba wimbo wa huzuni. Kesi za uchaguzi na epa zinatuuma.

Kama majeshi ata wakoloni walikuwanayo imara zaidi lakini waliondoka.

Wapinzani msinyamaze mkitegemea kuhongwa vyeo. Kwani mkikaa kimya ata milima itasema.

ZITTO alianza usaliti akashuka wakapanda akina Slaa,TUNDU LISU,MNYIKA,MDEE,WENJE, NA kamanda Lema

Ungetakiwa kudili na wabadhilifu na sio uteuzi

Zittooo! DENDA la uwaziri linamtoka. Unatamanishwa tu hupewi watamvua umwenyekiti wa chama
Mbatia ua NCCR bungeni kwani wanatabia ya kuungana na CHADEMA.
Toa kafulila anatusumbua kweli.

Mbatia

Navutiwa na JK NYERERE sio jk
well said, sioni kama anahitajika hata 'great thinker' ku-digest kwa ajili ya sie tulio na simple minds!
 
Back
Top Bottom