Tunasubiri hatua ya pili

Ok..wamewekwa kando na mafurushi ya tuhuma.PCCB NA DPP tunasubiri mafile kama sita hivi kumalizia alichokianza mkuu wa nchi...vinginevyo hata hao wanaoingia hawataogopa kukomba mboga
 
Mkuu hii unayoita ya PILI ndio ya kwanza ... Hiyo uliyoita ya kwanza wala haipaswi kupewe namba .. japo iitwe usanii wa kawaida na wasiku zote!!

ILI Pressure ya pale bungeni na Hasira za kutaka uadilifu hazibadilishwi kwa kuchagua hilo kundi la watu waliotajwa hapo ... MUAFAKA wa kukonga nyoyo ..... Walofanya Makosa WAFUNGWE!!
 
Ambaye hana dhambi yoyote na awe wa kwanza kuwapeleka mahabusu, badala ya kuwahurumia wenzetu wapepoteza ulaji tunafikiria kuwa-harass, kweli!
 
Mkuu hii unayoita ya PILI ndio ya kwanza ... Hiyo uliyoita ya kwanza wala haipaswi kupewe namba .. japo iitwe usanii wa kawaida na wasiku zote!!

ILI Pressure ya pale bungeni na Hasira za kutaka uadilifu hazibadilishwi kwa kuchagua hilo kundi la watu waliotajwa hapo ... MUAFAKA wa kukonga nyoyo ..... Walofanya Makosa WAFUNGWE!!
ni kweli mkuu kwani hatua hii ilitakiwa dhahrii kuchukuliwa mapema na si kusubiri shinikizo..bravo opposition mps na wake wa ccm waliothubutu japo kwa miaka hii mitatu wamejiweka pabaya but pazuri for the rest
 
Wanabodi,

Baada ya JK kuwapiga chini mawaziri waliofanya madudu naamini itafuatia piga chini ya makatibu wakuu wizara za madudu!.

Baada ya kuwapiga chini makatibu wakuu, ndipo watafuatia ama kuzivunja baadhi ya bodi na kuwapiga chini Wakurugenzi wakuu akiwemo wa Bandari na wa TBS!.

Kwa vile behind madudu hayo the men behind ndio wenye nchi waliomfikisha JK hapo alipo! na kuna hisia wengine waliyafanya hayo on behalf!.

Swali ni Jee, this time around, JK atakuwa na guts za kulikata tawi alilokalia?.

Pasco.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Pasco,

Ukiangalia kwa makini hii list mpya ya baraza la mawaziri unaweza kuona balaa linalowazunguka CCM. This is the worst (the worst) cabinet line-up ever witnessed! Sina shaka kwenye safu ya makatibu wakuu na hata body atatumia formula hiyo hiyo. Wapambe, wapokea vi-memo ndio waneonekana ku-shine.

Na ukumbuke hawa wanaingia baada ya fitna na vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama. Je, watasalimika? Wana ujasiri wa kutofanya yale yaliyowaponza wahanga wenzao? Hapa CCM waandike maamivu. Chama kinafuka kifo cha mende na anayetamani kuendelea na ubunge basi aanze mazungumzo na nyumba ya pili, lakini CCM haiponi.
 
Ok..wamewekwa kando na mafurushi ya tuhuma.PCCB NA DPP tunasubiri mafile kama sita hivi kumalizia alichokianza mkuu wa nchi...vinginevyo hata hao wanaoingia hawataogopa kukomba mboga

Sheria iko complicated mpendwa. Unaweza ukakuta "Ukaguzi" wa CAG ukawa "Kiuchunguzi" wa makosa ya Jinai si lolote!
 
Pasco hapo ngoja tuone kwani kwenye hotuba kajitutumua sana japo alikuwa as if kalazimishwa kwa unyonge ule!
 
Last edited by a moderator:
Wana jf baraza limetangazwa...japo nilidhani ukubwa utapungua..ni yaleyale wengine pamoja na madudu yao wamebaki(Shukuru kawambwa) kuhamishwa(jumanne maghembe) hawastahili,je hawa waliojilipa mali zetu(wananchi)itamaanisha nini bila kuwafilisi na kuwafikisha kortini kwa ubadhilifu.My take,washauri wa karibu toeni ushauri kwa rais awahukumu si kuchekeana,wakuu jf mnaonaje ili?nawasilisha
 
Back
Top Bottom