Katika tukio ambalo halikutarajiwa na la kushangaza vijana zaidi ya 50 waliokuwa wanachama wa CCM Tawi la Cairo mjini Mererani wilayani Simanjiro mkoani Manyara wameishusha bendera ya Tawi hilo na...
Hata kwa wale ambao hawakubaliani na baraza jipya la mawaziri, inabidi tukubaliane kwamba hatua hii aliyochukua Raisi ni acknowledgement kuwa Bunge letu lina sauti na sauti yake ni muhimu...
Utoto,kibri na umbumbu unaanza kujionyesha kwa mawaziri wa jk..baada ya kauli tata ya jana ya mzee wa twiga wa ngorongoro kwamba "ccm siyo mama yangu"leo tena mwingine kaibuka eti pamoja na...
Tukiwa tunaingia kwenye stage(hatua:flypig:) mbalimbali za muungano wa jumuiya cvhnagamoto ipo katika elimu pia, je watanzania nafasi iko wapi hapo,
1 burundi?
2 uganda ?
hawa ndio wachovu wa...
Rais Jakaya kikwete aliwaita wahariri wa vyombo mbali mbali ikulu ili kuwatangazia uteuzi wa mawaziri. Lakini alipomaliza tu kutangaza akakimbia! Kulikoni mh Jk? Si uliwaita? Kwa nini hukutaka...
Kwa kawaida ruzuku hugawanywa kulingana na idadi ya wabunge kwenye chama husika,hii inanipa shida maana kushinda kwa nassari nilidhani ccm katika hesabu za ruzuku itapungua maana itakuwa imepoteza...
Baada ya kupigwa chini na JK sasa mh Maige ni kama kachanganyikiwa...kuna baadhi ya watu wake waliokua wakimpa pole ya kuvuliwa ubosi amewambia kwamba ccm siyo mama yake eti aipigie magoti na...
Kama yamefanyika marekebisho ya baraza la mawaziri mara kwara kwa mara bila mafanikio basi hata baraza hili tisitegemee mabadiliko yoyote kama JK na Pinda hawatabadilika kiutendaji, misimamo na...
Hivi Dr Haji Mponda na Dr Nkya walikuwa na kiburi toka wapi wakashindwa kuwasikiliza madakitari? Hivi walikuwa hawafahamu kuwa Dr JK alikuwa anapata information toka ndani kabisa ya jopo la...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alisema mabadiliko hayo ya baraza la mawaziri hayatoi uhalali wa wao kutoa hoja yao ya kutaka waziri mkuu awajibike, bali uamuzi wa pamoja wa wabunge...
Baada ya Rais Kikwete "kulisuka" upya baraza la mawaziri, hakuna shaka kuwa kamati za Bunge zitalazimika kujisuka au kusukwa upya. Hii inasababishwa na ukweli kwamba wenyeviti wa kamati kadhaa za...
Huyu jamaa Ezekiel Maige ni mwalimu mzuri sana wa Management Accounting, sasa namshauri kwa kuwa kapunguziwa majukumu ya uwaziri na kubaki mbunge tuu,arudi kupiga part time kuchanganya na Ubunge...
Wajumbe,
Huku tukiendelea kusikitika na baraza lisilo na uwakilishi wa watanzania, huenda tukapata misiba mingine very soon!
SIKU chache baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Kwa Mwalimu wangu dkt. Mwakyembe, utakumbukwa kwa Jambo moja tu. RELI. ‘make our Railway system work'. Hutakuwa na ‘legacy' nyingine isipokuwa Reli maaana Bandari bila Reli ni sawa na...
Nimewahi kutaka ukaguzi Maalumu katika ‘account' ya Deni la Taifa. Linarejea wigo huu. Tunalipa takribani 1.9trn tshs kwa mwaka kuhudumia Deni la Taifa. Zaidi ya Bajeti ya miumbombinu, Afya...
Wanabodi.
Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG. kubaini matumizi mabovu ya fedha, mishahara hewa, mikataba mibovu.
Baraza la Mawaziri Kivuli ambalo lipo...
M/kiti wa Cuf kibaha ameuwawa ucku wa jana kwa kuvamia na watu wasiopungua kumi na tano wakitumia mapanga. Marehemu alihama ccm na kujiunga na cuf na kuwa mwiba mkali kwa...
1.....If you are good, yes but what about the system? is it smart to suit your good performance which will bear the visible fruits to the citizens......am very doubt because the taste of juice is...