Unajua kuwa tunalipa takribani 1.9trn Tshs kwa mwaka kuhudumia Deni la Taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajua kuwa tunalipa takribani 1.9trn Tshs kwa mwaka kuhudumia Deni la Taifa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, May 5, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nimewahi kutaka ukaguzi Maalumu katika ‘account' ya Deni la Taifa. Linarejea wigo huu. Tunalipa takribani 1.9trn tshs kwa mwaka kuhudumia Deni la Taifa. Zaidi ya Bajeti ya miumbombinu, Afya, Maji, Umeme nk.

  Source:Zitto Kabwe

  MY TAKE
  Kuna haja kuanza kulivalia njuga suala la ili deni otherwise mbele giza kwa jinsi linavyoongezeka mpaka sasa kufikia 14 trillion.
  Mbaya zaidi deni laongezeka uku impact ya iyo mikopo kwenye uchumi wetu ni insignificant which means nyingi watu wanakwapua
   
Loading...