Wajua? Tunatumia 300bil kukarabati barabara na 200bil kukarabati reli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajua? Tunatumia 300bil kukarabati barabara na 200bil kukarabati reli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, May 5, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa Mwalimu wangu dkt. Mwakyembe, utakumbukwa kwa Jambo moja tu. RELI. ‘make our Railway system work'. Hutakuwa na ‘legacy' nyingine isipokuwa Reli maaana Bandari bila Reli ni sawa na Bure.

  Tunatumia zaidi ya tshs 300bn kwa mwaka kukarabati barabara wakati tunahitaji tshs 200bn kukarabati Reli iweze kusafirisha mzigo kwenda Bandarini na kutoka Bandarini.

  Source: Zitto

  Kumbuka kwa reli ikakarabatiwa uchukua mda kuharibika unlike barabara. Mwakyembe you can see some savings apo ya 100Billions kwa mwaka,bila shaka ushapaona pa kuanzia.

  Go Mwakyembe go for it
   
Loading...