Baraza jipya la mawaziri sauti pweke nyikani

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
May 24, 2008
3,736
2,137
Kama yamefanyika marekebisho ya baraza la mawaziri mara kwara kwa mara bila mafanikio basi hata baraza hili tisitegemee mabadiliko yoyote kama JK na Pinda hawatabadilika kiutendaji, misimamo na kifikra.

Kwa mtazamo wangu naona matatizo makubwa yako kwa hawa watu wawili watendaji wa kuu wamekuwa nao ni walalamikaji sasa hatua achukue nani? hata kauli zao zinakinzana kama hawako pamoja ki utendaji.

Kama hawatabadilika kiutendaji,kimsimamo basi hata hilo baraza jipya halitakuwa na pakukimbilia.
litakuwa sawa na sauti pweke nyikani
 
Kweli moja kama hapendi kitu huwa analia wakati mwingine hata iwe msiba yeye hukenua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom