Maige njoo kwa Musasira uendelee kufundisha Managent Accounting

MAMC

Senior Member
Jan 3, 2012
139
66
Huyu jamaa Ezekiel Maige ni mwalimu mzuri sana wa Management Accounting, sasa namshauri kwa kuwa kapunguziwa majukumu ya uwaziri na kubaki mbunge tuu,arudi kupiga part time kuchanganya na Ubunge mambo yake yatakuwa Poa sana hata kulipia mkopo wa mjengo wake.
 
Kwani alizaliwa akiwa waziri?amekuambia hana pesa ya kulipa?
 
Back
Top Bottom