2015 nachukua jimbo la Ngeleja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2015 nachukua jimbo la Ngeleja!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by frema120, May 5, 2012.

 1. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wana bodi naomba mnishauli kuhusu jimbo la huyu jamaa, napanga kulichukua 2015 CDM.... nifanyenini? n.k
   

  Attached Files:

 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Maandalizi mema!
   
 3. t

  thengoshahimself Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hlo chukua mimi namaliza chuo mwaka kesho najipanga kuchukua jmbo na bwna maige hatuwez kuwa na madini na raslimal watu na ardhi afu tuish kwnye lile janga la umackin me mdogo lakn niko tofaut kidogo ntalichukua kupitia ccm akinichakachua napesa zake za kifisad narud nyumban cdm.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hawa magamba ni wa kuwatupilia mbali tena sana!

  Kuna yule mwingine wa Wilaya ya Arumeru/Magharibi naye ni janga kubwa sana kwa Taifa hili na kwa Wanainchi wake,Huyo kwenye wilaya yake Wanainchi wanalaani wemempaga kura ya nini.
  Na nafikiri kuna Ndg anamalizia chuo na amehakiki baada ya hapo ni kuwanusuru Wanainchi wake kwa udi na uvumba.

  sisiem ni janga kwa wanainchi!
   
 5. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Unamuongelea Ole Medeiye? Kule tatizo chadema hawajaweka matawi, nimekuwa huko last week, hawampendi na hawamtaki Ole tatizo ni jinsi ya kumtoa, sasa nyie mliopo vyuoni endeleeni na ndoto za ubunge bila ya kuwa na matawi, nadhani kule Kiding'a na Ilboru lazima mjikite kuweka matawi otherwise msitarajie miujiza, muda unaenda bado miaka miaka miwili unusu. Msilewe sifa, siasa ni mipango madhubuti na sio blahblah au ndoto za zinduna. Kuweni makini.
   
 6. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Unataka kulichukua au kupata ridhaa ya wananchi?
   
 7. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  likewise Nachukua jimbo la Mponda M4C 2015
   
 8. B

  Bubona JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nina mashaka kama kweli nyumbani kwenu ni CDM kama ulivyosema!!
   
 9. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Hapo anasali
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kama Ngeleja atagombea tena 2015 basi nitamwona ni ****.
   
 11. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  we ni msaliti tu na hufiki mbali kwa style hyo eti narud nyumban chadema!we gamba tu cdm hatutaki vilaza kama wewe
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yeye na Lau Masha lao lilikuwa moja kuhonga na kutishia wapinzani wao; kwahiyo 2015 utafanikiwa kama hautatishika na vitisho vyake na Takuhuru itakusaidia kuchukua baadhi ya fedha zake kwahiyo hata honga
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Je unaendesha programme ya elimu ya uraia $ M4C jimboni?
   
 14. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Hivi unazani tatizo ni mtu au chama? Ni kipi CCM ya Maige imeshindwa kufanya ambacho CCM yako itakiweza? Kumbe ni gamba type? Huna jipya, unatambua fika kabisa kwamba CCM sio nyumbani kwa nini uishi maisha ya mwanampotevu? Bado hujiamini na huamini ktk M4C. Anza upya!
   
 15. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu wa CDM, wala msitumie nguvu sana, hayo majimbo yapo wazi muda mrefu.
  ANGALIZO; Kinachotakiwa ni kuwaimiza wananchi wapige kura na kuzilinda...
   
 16. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  thubutu,kamanda niko hapa,lazima nichukue jimbo 2015
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ue na fedha sio chini ya million 200 za rushwa kwa sababu mwenzako anazo hizo na atazitumia kuhakikisha anapigiwa yeye kura:smiling:
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasa anza kufanya kama akina myika, tumia avatar yako na jina lako ili tuanze kukuandaa vizuri, lakini kupitia CDM.
   
 19. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,850
  Likes Received: 2,776
  Trophy Points: 280
  Umemwuliza Marytna lakini? Maana na yeye ana nia na hilo jimbo! Angalieni msijetoana macho bure!
   
 20. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  usiwe vuguvugu ni bora uwe moto au baridi utafanikiwa mkuu
   
Loading...