Chadema kufanya marekebisho kwenye baraza la Mawaziri Kivuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kufanya marekebisho kwenye baraza la Mawaziri Kivuli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, May 4, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wanabodi.

  Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG. kubaini matumizi mabovu ya fedha, mishahara hewa, mikataba mibovu.

  Baraza la Mawaziri Kivuli ambalo lipo chini ya Chadema limeshindwa kubaini chochote ndani ya serikali.

  Chadema huenda likavunja Baraza lao la Mawaziri Kivuli na kuunda Baraza jipya la Mawaziri Kivuli na kuunda serikali yao mpya Kivuli.
   
 2. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vp mkeo hajambo?
   
 3. S

  STIDE JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Vp mkuu hapo ndio mwisho wako wa kufikiri!!?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  idiot.jpg
  ..
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Be specific limeshindwa kubaini nini, halafu unajua kazi ya baraza kivuli ni nini.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Lake oil vp?
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kazi ya baraza la Mawaziri Kivuli ni pamoja na kuibua madudu kwenye wizara husika.
   
 8. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ritz bana! Baba yako kapata hasara sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Binadamu ni utu ila utu unasifa zake.......unashauriwa kutunza utu wako!
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Unaliwa kipapai
  Kipapai kinaliwa
  Wanakula wenyewe
  Hawana uwelewa
  Wamelewa kwa kuliwa
  Kuliwa sio sifa
  Lakini wanaliwa
  Kipapai sio pipi!!
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka Waziri Kivuli wa Nishati na Madini Mchungaji Peter Msigwa, alisema nina majukumu kama waziri kivuli kuishitaki serikali kwa wananchi pale watakapo baini ufisadi ndani ya Wizara ya Nishati na Madini.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kumbe nani alitibua madudu ya TBS? Umesahau Vicent Nyerere ndiye aliyetoa vithibitisho vyote vya wale wakala 'fake' wa TBS?

  CHADEMA wanaweza kufanya marekebisho if they wish to do so lakini hawana ulazima sana maana mpangilio wa wizara haujabilika hivyo as of now kila wizara inayo-waziri kivuli except hii ya Prof Mwandosya isiyokuwa na kazi maalum. But I doubt kama CHADEMA wataiga huu utaratibu wa UJIMA wa kuwa na wizara isiyokuwa na specific tasks!
   
 13. O

  Original JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukifikiria kwa kutumia masaburi ni hatari sana.
   
 14. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa anawazaga kweli? Anakuja na thread ambazo hazina mashiko au ni kukosa cha kupost?acha umagamba wewe
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280

  duh!! baraza limebakia jinsi lilivyo; angebadilisha wizara basi CDM nao ingebidi waakisi hilo.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Leo ni ijumaa, ungeenda kuswali labda ungekuja na jipya hapa.
   
 17. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Bolt ukishindwa kuikazA ifungue!
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli
   
 19. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli...nazi ndio nazi na koroma ndio koroma
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  blah blah
   
Loading...