Siwezi kuwa ombaomba-Ngereja!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Utoto,kibri na umbumbu unaanza kujionyesha kwa mawaziri wa jk..baada ya kauli tata ya jana ya mzee wa twiga wa ngorongoro kwamba "ccm siyo mama yangu"leo tena mwingine kaibuka eti pamoja na kuvuliwa uwaziri hawezi kua ombaomba...kauli hii kaitoa mzee wa vibatali(Ngereja)kwenye moja ya maduka(supermarket)alipopewa pole na dada mmoja ambaye ni muudumu wa duka hilo...sasa hizi kauli zinaonyesha ni kiasi gani walivyochuma vya kutosha na katu ata wakiishi miaka 200 hawawezi kupata shida ya pesa.
 
Kajipanga vilivyo na maisha ni mkweli kwani anaamini kuwa hakuzaliwa kuwa waziri, nafikiri maisha yataenda hata asipokuwa waziri,,,,,,,, atapunzika na kelele za ZZK na timu yake.
 
Watu wengine bana, ulitaka alie kama mtoto, au ulitaka aseme kwamba hana uhakika wa kula? Kwani kabla ya kuwa waziri alikuwa omba omba?

Hivi ni vitu vya kawaida katika maisha,,,take them easy!
 
Utoto,kibri na umbumbu unaanza kujionyesha kwa mawaziri wa jk..baada ya kauli tata ya jana ya mzee wa twiga wa ngorongoro kwamba "ccm siyo mama yangu"leo tena mwingine kaibuka eti pamoja na kuvuliwa uwaziri hawezi kua ombaomba...kauli hii kaitoa mzee wa vibatali(Ngereja)kwenye moja ya maduka(supermarket)alipopewa pole na dada mmoja ambaye ni muudumu wa duka hilo...sasa hizi kauli zinaonyesha ni kiasi gani walivyochuma vya kutosha na katu ata wakiishi miaka 200 hawawezi kupata shida ya pesa.

Bado ubunge sasa.
 
We know that...
Lakini uzembe wako umetuacha wengi wetu ni omba omba.
 
Utoto,kibri na umbumbu unaanza kujionyesha kwa mawaziri wa jk..baada ya kauli tata ya jana ya mzee wa twiga wa ngorongoro kwamba "ccm siyo mama yangu"leo tena mwingine kaibuka eti pamoja na kuvuliwa uwaziri hawezi kua ombaomba...kauli hii kaitoa mzee wa vibatali(Ngereja)kwenye moja ya maduka(supermarket)alipopewa pole na dada mmoja ambaye ni muudumu wa duka hilo...sasa hizi kauli zinaonyesha ni kiasi gani walivyochuma vya kutosha na katu ata wakiishi miaka 200 hawawezi kupata shida ya pesa.
mod ondoeni huu udaku
 
Wewe ni mbumbumbu zaidi ya ngeleja,nyie ndio mnaojaza takataka humu jamvini,post vitu vya msingi siyo huo udaku!
 
Awe amesema awe hajasema kinachotakiwa pesa yetu arudishe....kwanza mtu mwenyewe huwa anavishobokea videmu sana,pengine bcoz aliona kuna demu akashobokea,sii huyu huyu ndio aliyemuhonga demu $3000 kwenye ndege au?
 
Watu wengine bana, ulitaka alie kama mtoto, au ulitaka aseme kwamba hana uhakika wa kula? Kwani kabla ya kuwa waziri alikuwa omba omba?

Hivi ni vitu vya kawaida katika maisha,,,take them easy!

Sidhani kama aliulizwa ataishije, alipewa pole kama sehemu ya ustaarabu wa waungwana, kauli hiyo co mahali pake.
 
Watu wengine bana, ulitaka alie kama mtoto, au ulitaka aseme kwamba hana uhakika wa kula? Kwani kabla ya kuwa waziri alikuwa omba omba?

Hivi ni vitu vya kawaida katika maisha,,,take them easy!
Mimi nakubaliana na wewe full!,isitoshe huyu jamaa ni mwanasheria mzuri tu,na bado ni mheshiwa mbunge pia
 
Utoto,kibri na umbumbu unaanza kujionyesha kwa mawaziri wa jk..baada ya kauli tata ya jana ya mzee wa twiga wa ngorongoro kwamba "ccm siyo mama yangu"leo tena mwingine kaibuka eti pamoja na kuvuliwa uwaziri hawezi kua ombaomba...kauli hii kaitoa mzee wa vibatali(Ngereja)kwenye moja ya maduka(supermarket)alipopewa pole na dada mmoja ambaye ni muudumu wa duka hilo...sasa hizi kauli zinaonyesha ni kiasi gani walivyochuma vya kutosha na katu ata wakiishi miaka 200 hawawezi kupata shida ya pesa.

Hili ni fundisho kwa vijana ambao wameingia katika siasa. Ni vyema kujiwekea malengo yao vizuri na siyo kujisahahu na kulewa madaraka baada ya muda mfupi. Amini usiamini hawa jamaa Ngeleja, Maige and the like walijisahau na kuanza kubweteka bila kujua kuwa wanaharibu hatima ya ajira zao na heshima zao. Majibu wanayotoa kwa sasa yanaonyesha bado akili zao hazijaamini kuwa wametolewa katika nafasi ambazo walikuwa wakiwauliza watu "unanijijua mimi".

Nawasihi vijana waliokom kwenye siasa kuepuka kuendelea kuweka nafasi za vijana rehani kwani itafika mahali wazee wataanza kuwa na mifano ya kutosha ya namna vijana wanavyolewa madaraka.
 
Safi mpiganaji wetu hayo ndo majibu sasa mlitaka alie!!Kafa kiume mtoto wa kiumeni!!
 
Back
Top Bottom