Kwa nini Kikwete aliwakimbia waandishi wa habari?

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Rais Jakaya kikwete aliwaita wahariri wa vyombo mbali mbali ikulu ili kuwatangazia uteuzi wa mawaziri. Lakini alipomaliza tu kutangaza akakimbia! Kulikoni mh Jk? Si uliwaita? Kwa nini hukutaka maswali mheshimiwa?. Kama ulijua utatukimbia kwanini utuite?

Kwa kweli nimesikitika sana kuona Rais anakimbia maswali!
Nadhani aliogopa kuulizwa kuhusu kumwacha ktk baraza la mawaziri Mkuchika, Maghembe, na Wasira?
 
Unadhani angeweza kweli kujibu maswali mazito ya wale wahariri? Kama alishindwa kujibu vyema sababu za kwanini watz ni maskini unadhani angeweza kujibu vp la kwanini mawaziri waliofisadi nchi na ushahidi upo wawajibishwe kisiasa tu wakati nchi inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu zake huku ikisemwa hakuna aliye juu ya sheria? Pangemeguka
 
Alikuwa anakikimbia kivuli chake. Alijua ameboronga kabisa.
Si mnamkumbuka enzi zake alipokuwa rafiki wa press? Alikuwa akiwaita mwenyewe na kujibu mwenyewe kila hoja mpaka technical, leo imekuwaje anawakimbia marafikize vipenzi? Hapa tuna rais anayekimbiza siku jua lichwe! Ameamua kubeba mizigo yake km pinda, malima, mkuchika, wassira, simba, nk na hataki maswali yasiyo na maana
 
Rais Jakaya kikwete aliwaita wahariri wa vyombo mbali mbali ikulu ili kuwatangazia uteuzi wa mawaziri. Lakini alipomaliza tu kutangaza akakimbia! Kulikoni mh Jk? Si uliwaita? Kwa nini hukutaka maswali mheshimiwa?. Kama ulijua utatukimbia kwanini utuite?

Kwa kweli nimesikitika sana kuona Rais anakimbia maswali!
Nadhani aliogopa kuulizwa kuhusu kumwacha ktk baraza la mawaziri Mkuchika, Maghembe, na Wasira?

kama kweli wewe ni mwandishi wa habari basi ulitakiwa ujue kua kuna wakati rais anaiita waandishi wa habari na kunakua na maswali na majibu...na kuna wakati mwingine akitaka kutangaza kitu kwa wananchi wote then anafanya hivyo kupitia kwa media i.e waandishi wa habari, television na radio... ukiangalia hata obama, cameron na viongozi wengine duniani kuna saa za maswali na majibu na kuna saa za kutanganza kitu muhimu kwa nchi nzima kupitia nyie media alafu basi wanaondoka zao kuendelea na shuhuli zingine...kama hiyo ulikua wewe hujui basi ningeomba urudi tena shule ukaendelee ukasome zaidi:thinking:
 
Wanabodi mnakumbuka zamani alishaleta mfumo Fulani wa kuulizwa maswali na wananchi mwisho wa mwezi kupitia Simu Ikadumu mara moja tuu Kumbe wapiga simu walikuwa Wana waandaa
 
sawa kabisa.alikuwa na msg aliyotaka ifike bila kuchakachuliwa!!!

kama kweli wewe ni mwandishi wa habari basi ulitakiwa ujue kua kuna wakati rais anaiita waandishi wa habari na kunakua na maswali na majibu...na kuna wakati mwingine akitaka kutangaza kitu kwa wananchi wote then anafanya hivyo
kupitia kwa media i.e waandishi wa habari, television na radio...
ukiangalia hata obama, cameron na viongozi wengine duniani kuna saa za maswali na majibu na kuna saa za kutanganza kitu muhimu kwa nchi nzima kupitia nyie media alafu basi wanaondoka zao kuendelea na shuhuli zingine...kama hiyo ulikua wewe hujui basi ningeomba urudi tena shule ukaendelee ukasome zaidi:thinking:
 
Kama walikuwepo hawa Said Kubenea, Absalom Kibanda, yule wa gazeti la mwananchi, (nani sijui, nimemsahau though nilimwona) Charles Kulingwa, mzee wa maswali magum wa Tanzania Daima na wale wa Raiamwema unategemea nini? lazima akimbie, si unajua hawa ni masikini jeuri? hawategemei fadhila za wakubwa ili waishi, wanategemea fadhila za mwenyezi Mungu ili waishi, wanaipenda nchi yao kuliko matumbo yao, so wangempachika maswali magumu then angejihisi kudhalilika because kwa style ya mtu kama Kubenea, yeye na hakika angeenda mbali zaidi na kuchapisha maswali ya ana kwa ana na mkuu so tungeona anavyo jidhalilisha, so tafadhari naomba msimlaumu baba Mwanaasha kwa hilo, tatizo ni uwezo na dhamili yake vilikataa.
 
kama kweli wewe ni mwandishi wa habari basi ulitakiwa ujue kua kuna wakati rais anaiita waandishi wa habari na kunakua na maswali na majibu...na kuna wakati mwingine akitaka kutangaza kitu kwa wananchi wote then anafanya hivyo kupitia kwa media i.e waandishi wa habari, television na radio... Ukiangalia hata obama, cameron na viongozi wengine duniani kuna saa za maswali na majibu na kuna saa za kutanganza kitu muhimu kwa nchi nzima kupitia nyie media alafu basi wanaondoka zao kuendelea na shuhuli zingine...kama hiyo ulikua wewe hujui basi ningeomba urudi tena shule ukaendelee ukasome zaidi:thinking:

wewe unaemwambia mwenzio arudi shule we ndio uanze kurudi faster....kama hataki maswali si angeijumuisha kwenye hotuba zake za mwisho wa mwezi au wangepeleka press realese kila media au angeenda tbc akakae na malin hassan watangaze nini maana ya kuita watu wakusikilize? That means kama wanaswali wakuulize kama hawajapublish.......msizarau hoja za wenzene kwa maslahi ya hisia zenu.
 
Kingine nilichoshudia ,jk baada ya kutangaza alikaa kama kapigwa ganzi then akageuka na kutokomea ,wahariri wakaangua kicheko tbc kuona vile wakabadili kipindi ghafla wakatuwekea bendi,inashangaza.
 
kama kweli wewe ni mwandishi wa habari basi ulitakiwa ujue kua kuna wakati rais anaiita waandishi wa habari na kunakua na maswali na majibu...na kuna wakati mwingine akitaka kutangaza kitu kwa wananchi wote then anafanya hivyo kupitia kwa media i.e waandishi wa habari, television na radio... ukiangalia hata obama, cameron na viongozi wengine duniani kuna saa za maswali na majibu na kuna saa za kutanganza kitu muhimu kwa nchi nzima kupitia nyie media alafu basi wanaondoka zao kuendelea na shuhuli zingine...kama hiyo ulikua wewe hujui basi ningeomba urudi tena shule ukaendelee ukasome zaidi:thinking:
Upo sahihi Mkuu, lakini bado suala la kwa nini kawaita? Kawaita kwa sababu tu Obama, Cameron wanafanya hivyo na Kikwete afanye? Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu isingeweza kurekodi hiyo hotuba ya mheshimiwa na kuituma kwa wakati mmoja kwa vyombo vyote vya habari na waandishi wa habari wote, bila ya yeyote kupoteza wakati, kupoteza mafuta?

Leo unaita waandishi wa habari saa tisa, wanakuja unapowaita, wanakaa mpaka saa kumi na nusu ndio unatoa hotuba ambayo kila mmoja angetumiwa aliko. Hapana, hii ni kuishi enzi za giza.
 
Back
Top Bottom