Chonde chonde ccm!!!

mashaka-jr

Member
Apr 28, 2012
26
1
Wana-ccm napenda kuwajuza kuwa pamoja na mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyofanywa na mhe. Jk, hakuna jipya tuwezalo kulitarajia kwani ufisadi bado ni sera ya ccm.
Kwa kufuta azimio la arusha, ccm walihalalisha ufisadi.
Kusema kweli ccm imetufikisha hapa tulipo. Tuna jamii yenye viongozi matajiri na umma uliojaa umaskini wa kutisha!
Utajiri wa viongozi wetu unatokana na dhamana waliyopewa na umma ya kuongoza.
Kwa ufupi viongozi wameusaliti umma!
Ccm wajilaumu wenyewe kwa yale yanayotokea ndani ya chama
 
Wewe si mwana ccm huwezi ukamtukana mkuu wako, jivue gamba mapema tujipange upya. ,,,,
 
CCM Inawenyewe na wenyewe ni sisi wanachama wa ukweli, siyo nyie mnaojifanya wana CCM wakati ni wana CDM.ila nifurahi sana kwani jamaa wengi wa upinzani wanapenda na wanatamani kuwa wana ccm.Msipate tabu karibuni kwenye chama tawala,chama cha ushindi na chama chenye dira na sera nzuri za kuijenga nchi yetu na kuendeleza mazuri yote toka kwa awasisi wa Taifa letu.

KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM!
 
.!????????!!!!!!!!!!!!
 
Ama kweli kama kuna mizoga ambayo hata fisi hawezi kunusa harufu ni huyu(HINGI) aliyengwa hela za ufisadi kutetea ufusadi.Naamini anachoongea kinatoka mdomoni si moyoni. POLE MZOGA
 
Umenena kaka! Bora kufa bila chama kuliko kuwa CCMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMM
 
CCM Inawenyewe na wenyewe ni sisi wanachama wa ukweli, siyo nyie mnaojifanya wana CCM wakati ni wana CDM.ila nifurahi sana kwani jamaa wengi wa upinzani wanapenda na wanatamani kuwa wana ccm.Msipate tabu karibuni kwenye chama tawala,chama cha ushindi na chama chenye dira na sera nzuri za kuijenga nchi yetu na kuendeleza mazuri yote toka kwa awasisi wa Taifa letu.

KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM!

Sio siri U NEED :help: na sijui una umri gani? sio kosa lako tatizo ni kukaa kwenye kahawa na wazee wa dari salama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom