Baraza la mawaziri na watoto wa vigogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la mawaziri na watoto wa vigogo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, May 5, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]

  [​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]

  • [​IMG]
  • [​IMG]


  • [​IMG]
  Katibu mkuu wa zamani wa CCM Yusuf Makamba aliwahi kujivuna kuwa amezaa watoto wenye bongo na hivyo lazima mwanae awe waziri. Kikwete alipovunja baraza la mawaziri kutokana na kipenzi rafiki na mshirika wake Edward Lowassa kusombwa na kashfa ya Richmond, alimuacha nje January. Hii ilifanya watu tumzodoe Makamba kuwa yako wapi tusijue kuwa waarabu wa Pemba hujuana kwa viremba! Sasa January pamoja na uteke wake ni waziri. Anazidi kutunisha namba ya watoto wa wakubwa walioridhi ukubwa wa wazazi wao. Leo tuna Emanuel Nchimbi mtoto wa kigogo wa zamani wa CCM, January Makamba kadhalika, Adam Malima mtoto wa swahiba mkubwa wa rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi ambaye mwanae ni waziri wa Afya na Hamis Kageshiki mkwe wa Mwinyi. Kimsingi, Makamba hakutabiri wala kubabaisha bali alijua walivyo na hisa kwenye serikali hii ya kishikaji ya kujuana na kulindana ukiachia mbali kulipana fadhili kwa mgongo wa jasho la mlipa kodi maskini. Ubaya ni kwamba wale wasio na hisa walipopewa madaraka wakajisahau kuwa hawakuwa na hisa. Hii ndiyo siri ya kubakizwa kwa watu kama Adam Malima ambaye alishirikiana na William Ngeleja kuhujumu uchumi. Kadhalika Dk. Hussein Mwinyi ambaye mabomu yaliua watu chini ya uangalizi wake na akashinikizwa ajiuzulu akagoma kwa kujua shea za baba yake kwenye serikali. Kadhalika Emanuel Nchimbi anayekabiliwa na shutuma za kughushi vyeti vya kitaaluma. Hawa ni watoto wa wenye hisa hawaguswi wala hawastuki hata wakikosea vipi.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Nchi ya wanafamilia hii acha wale kwanza dawa ni 2015.
   
 3. aseenga

  aseenga Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 25
  kia kitu kina mwisho:baby::baby:
   
 4. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ni kweli nchi yetu uwanafamilia kubebana umezidi, hata 2015 utaendelea:-

  Ndesa na mtoto wake * mkwewe
  Lissu na dada yake
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Udambwidambwi wa politiki huu!
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja,

  kweli kuna undugu na kubebana sana kwenye vyama vya siasa!

  We mwanzilishi anamkabidhi mikoba mkwe wake awe mwenyekiti unafikili ni sahihi kweli?
   
 7. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dr slaa na rose kamili mbunge viti maalum-chadema
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nilidhani mada ni 'baraza la mawaziri na vigogo' na sio back benchers! au nimesoma vibaya?
   
 9. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Tundu Lissu aliwahi kusema huu ni utawala wa kifalme akaonekana mtu wa ajabu kabisa
   
 10. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Umemsahau David Matayo David mtoto wa Cleopa Msuya.
   
 11. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,875
  Likes Received: 2,817
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nilifikri hivyo Mkuu. Lakini kwa vile akili ya wanaccm imelundikana kwenye Masaburi wamekimbilia vidagaa! Sisi Wa-TZ mazoba acha tuliwe!
   
 12. k

  ksalama0 Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tumeliwa kekundi Watz wenzangu, hebu 2015 iwaamshe wote kukaa mguu pande na sawa kwa upande ulio sahihi.
   
 13. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mungu ibariki tanzania!! :amen:
   
 14. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Rasilimali ya Mnyonge ni Umoja 2015
   
 15. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Vita kawawa Zainab kawawa
   
 16. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Days are coming when they will regret and attempt to get out of the country but for sure nobody will succeed.
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Inamaana sisi ambao hatuna ndugu yeyote huko kwenye uongozi wa juu uwaziri ndio bac tena watafaidi wakina W J Malecela tuu
   
 18. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  haya yote yana mwisho wakuu. tuwe tu na subira, salvation is around the corner. M4C
   
 19. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenye nacho huongezewa, asiyenacho hunyanganywa hata kile kidogo alichonacho.
   
 20. Gwaje

  Gwaje JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 271
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 45
  mh jamani mnikumbuke mie pia nipo
   
Loading...